Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Nchi inaongozwa na watu wenye brain ndogo kama ya ragworm!Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Dk Charles Kitima amesema uadilifu wa uchaguzi umeshuka nchini, jambo linalotishia kuwepo kwa uchaguzi ulio huru na wa haki.
Ameyasema hayo alipokuwa akijibu maswa katika mahojiano na Jambo TV Online.
Fuatilia: Father Kitima
So aendelee kunyamaza?...hakuna wakati ambapo Wakatoloki hawakuongea....fanya research vizuri.....Wakat wa magufuri hawakuongea hata kdgo hawa watu swala la uchaguzi ilkuaje?? Kuna awam ambayo viongozi wa upinzani waliminywa kam awam ya 5??Why now kuongea sna hawa viongoz mnaoita wadin
Kwa sababu mnafanya hila ya kurudisha nchi hii kwenye mahakama ya kadhi .Wakat wa magufuri hawakuongea hata kdgo hawa watu swala la uchaguzi ilkuaje?? Kuna awam ambayo viongozi wa upinzani waliminywa kam awam ya 5??Why now kuongea sna hawa viongoz mnaoita wadin
Ulikua hujazaliwa au ulikua kwenye blanketi la ujinga au kwa sasa unaandamwa na udini na unajitoa ufahamu takataka weweWakat wa magufuri hawakuongea hata kdgo hawa watu swala la uchaguzi ilkuaje?? Kuna awam ambayo viongozi wa upinzani waliminywa kam awam ya 5??Why now kuongea sna hawa viongoz mnaoita wadin
Mkuu kuna watu huwa ni wajinga hadi unajiuliza humo kichwani kabeba tope au mav!.So aendelee kunyamaza?...hakuna wakati ambapo Wakatoloki hawakuongea....fanya research vizuri.....
Wewe utakuwa hukuona waliongea ikafikia hatua jamaa aliyekuwa anashikilia nafasi ya kitima akanyanganywa uraiaWakat wa magufuri hawakuongea hata kdgo hawa watu swala la uchaguzi ilkuaje?? Kuna awam ambayo viongozi wa upinzani waliminywa kam awam ya 5??Why now kuongea sna hawa viongoz mnaoita wadin
Waliongea sana...nakumbuka askofu moja wa huko ngara aliambiwa na magufuli kwamba hakuwa raia wa tzWakat wa magufuri hawakuongea hata kdgo hawa watu swala la uchaguzi ilkuaje?? Kuna awam ambayo viongozi wa upinzani waliminywa kam awam ya 5??Why now kuongea sna hawa viongoz mnaoita wadin
Ukweli mchungu....Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Dk Charles Kitima amesema uadilifu wa uchaguzi umeshuka nchini, jambo linalotishia kuwepo kwa uchaguzi ulio huru na wa haki.
Ameyasema hayo alipokuwa akijibu maswa katika mahojiano na Jambo TV Online.
Fuatilia: Father Kitima
Unataka aje aongee wakati wa nani?Wakat wa magufuri hawakuongea hata kdgo hawa watu swala la uchaguzi ilkuaje?? Kuna awam ambayo viongozi wa upinzani waliminywa kam awam ya 5??Why now kuongea sna hawa viongoz mnaoita wadin
Ukweli ni kwamba ccm wamezidi wizi, haijalishi ni wakat wa nani au nani. Sasa wew tizama kiongoz wa dini ila ukweli ni kwamba haki hakuna 😳Wakat wa magufuri hawakuongea hata kdgo hawa watu swala la uchaguzi ilkuaje?? Kuna awam ambayo viongozi wa upinzani waliminywa kam awam ya 5??Why now kuongea sna hawa viongoz mnaoita wadin
kafuatilie vzr pengine kipindi hicho ulikuwa shamba hukujua kilichokuwa kinaendeleaWakat wa magufuri hawakuongea hata kdgo hawa watu swala la uchaguzi ilkuaje?? Kuna awam ambayo viongozi wa upinzani waliminywa kam awam ya 5??Why now kuongea sna hawa viongoz mnaoita wadin