padri vs muhumini

anold mwiza

New Member
Joined
Nov 14, 2008
Posts
3
Reaction score
0
padri nifanye nini niishi maisha marefu
padri?
padri:je unalewa?
mhumini:hapana
padri:unavuta sigara?
muhumini:hapana
padri:unacheza kamali?
muhumini: sichezi
padri:unafanya ngono?
sipendi
padri:wee msee***** sasa maisha marefu ya nini?
 
Last edited by a moderator:
padri nifanye nini niishi maisha marefu
padri?
padri:je unalewa?
mhumini:hapana
padri:unavuta sigara?
muhumini:hapana
padri:unacheza kamali?
muhumini: sichezi
padri:unafanya ngono?
sipendi
padri:wee msee***** sasa maisha marefu ya nini?

Naona una laana weye!!!!!! si bure maana post zako zote zimeoza. Huoni aibu kuwazushia mabaya watumishi wa Mungu?
 
padri nifanye nini niishi maisha marefu
padri?
padri:je unalewa?
mhumini:hapana
padri:unavuta sigara?
muhumini:hapana
padri:unacheza kamali?
muhumini: sichezi
padri:unafanya ngono?
sipendi
padri:wee msee***** sasa maisha marefu ya nini?

Mungu aturehemu!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…