Pafanye JamiiForums kisima cha maarifa na taarifa

Jamii Forum imebadilika na kuwa tofauti na zaman kwa sabab ya;

1. Machawa ( Tatizo sugu linaloharibu taswira ya umahiri wa vijana kutetea na kukemea matendo maovu yanayofanywa na viongozi) kazi yao ni kusifia tu

2. Utoto umetamalaki (rejea aina za mada ziletwazo)

3. Wachangiaji mahiri na wenye ufahamu wa mambo mazito wameamua kukaa pemben, kwakuwa mada za siku hizi hazina mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…