Pafyume za Haji Manara na body spray za mwana FA zimeishia wapi?

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Sizioni sokoni siku hizi, Chibu pafyumu ndo zilijifia mapeeema, hata Mofaya ndo kabisaaa haijawahi kuzunguka kwenye bongo a huko kwenu zipo?
 
KAMA ZILE fa ndo za mwana fa basi kajitahidi mno kufikisha bidhaa zake kwa jamii, sijajua kwa mikoani ila kwa dar kajitahidi mno, akifeli na hilo basi ni uzembe wake
 
Haji anawatukana wana yanga kila kukicha unadhani shabiki wa yanga ataenda kununua? Awahamasishe wananchi wakashibikie timu yao huku wakinukia unyunyu wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwana FA anajitahidi ila ustaadhi Haji naona kakwama...
 
Za manara hazikuendelea kwasababu alitapeli

-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…