House4Sale Pagala (Boma) linauzwa Kibaha Mathias

House4Sale Pagala (Boma) linauzwa Kibaha Mathias

Ortega

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
844
Reaction score
209
Ukishuka kwa mathias eneo lipo ndani kutoka barabara kuu 1.5km karibu na shule ya Secondary inaitwa Nyumbu. Bodaboda elfu 1 kufika site.

Vyumba 3 moja master
Jiko
Stoo
Choo na bafu
Sebule
Dinning
Pia kuna kajumba kengine kadogo ka chumba kimoja na sebule pembeni ya kiwanja.

Ukubwa wa kiwanja 38 kwa 41.
Huduma za kijamii zote zipo ni eneo lenye wakazi wengi.
Piga simu 0712787939

IMG-20211125-WA0001.jpg
 
Bei milioni 20, mazungumzo yapo.
Piga 0712787939
 
Hayo maeneo nayajua pamechangamka Sana hata kuipangisha nyumba Ni rahisi

Washindwe wao tu
 
Hata kituoni unaenda kwa mguu toka hapo sekondari
 
Hapo unauza kiwanja tuu.. hilo pagale linaanguka muda wowote..
 
Back
Top Bottom