Pagale la vyumba 5, master 4 – kimanzichana mkuranga | 18.5m tu

  • Thread starter Thread starter guest-1789818704
  • Start date Start date
G

guest-1789818704

Guest
WANA-JF HABARI ZA WAKATI HUU.

Nauza PAGALE lililopo Kimanzichana kwa Gongo, Mkuranga – Pwani, nyuma ya mnada.

🏠 Limefikia kozi ya 11, lina:
β€’ Vyumba 5 β€” 4 Master
β€’ Sitting room kubwa, dining, kitchen & store
β€’ Public toilet
β€’ Umeme na kisima cha maji vipo
β€’ Parking ya gari 1 mbele
.upande wa nyuma pana sehemu ya kuchimba karo la choo
β€’ Kilwa Road ni takribani dakika 3 kwa miguu, na inaonekana ukiwa site.

πŸ“ Kiwanja: 19m Γ— 17m na 18m Γ— 14m
πŸ“„ Umiliki: Nyaraka za Serikali ya Kijiji zipo.
βœ… Hakuna mgogoro.

πŸ’° Bei: 18.5M β€” maongezi yapo.

πŸ“ž 0622 267 144 β€” Mmiliki moja kwa moja.

Mwenye nia njoo ukague site. Ukipenda, tufanye biashara.
 
Attachments

  • 457277.jpeg
    187.4 KB · Views: 9
  • 457284.jpeg
    192.4 KB · Views: 9
  • 457296.jpeg
    195.2 KB · Views: 11
  • 457332.jpeg
    135 KB · Views: 9
  • 457307.jpeg
    225.9 KB · Views: 11
  • 457308.jpeg
    171.6 KB · Views: 11
Kwa wale mnaotaka kwenda kuishi porini, pagale la bei rahisi hilo.
 
Pagale bado lipo mwekezaji yeyote karb kwa mawasiliano zaid ni kilometer 68 kutoka dar na ni dk 3 mpaka saiti
 
Pagale bado lipo mwekezaji yeyote karb kwa mawasiliano zaid ni kilometer 68 kutoka dar na ni dk 3 mpaka saiti
 
Pagale lipo linafaa kwa makazi na uwekezaji
 
Hizo tofali zilizotumika naona kama zimechakaa...

KIla la kheri mkuu, Mungu akusaidie upate mteja.

Sema hujaweka mnofu kidogo kwenye tangazo lake kwenye mahitaji muhimu kama maji na umeme. Pia ukaribu wa huduma za kijamii kama hospitali na shule
 
Ni jengo jipya kaka halina mda mrefu pia kuhusu huduma za muhimu za kijamii zipo
 
Hizo tofali zilizotumika naona kama zimechakaa...

KIla la kheri mkuu, Mungu akusaidie upate mteja.

Sema hujaweka mnofu kidogo kwenye tangazo lake kwenye mahitaji muhimu kama maji na umeme. Pia ukaribu wa huduma za kijamii kama hospitali na shule

Simu zetu si unajua camera zakeπŸ˜€
 
Mradi unafaa kwa zahanati apartment day care makazi gest house karb ukague saiti tufanye biashara mkuranga kimanzichana dk 3 kutoka kilwa road
 
Pagale lipo linafaa kwa makazi na uwekezaji
Karibu mkuranga ya viwanda
Uwekeze ni dk 3 kutokwa kilwa road kwa bei ya 18,500.000 maongezi yapo gari inafika mpaka saiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…