House4Sale Pagale linauzwa Msumi

House4Sale Pagale linauzwa Msumi

ampojoter4

Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
12
Reaction score
4
Pagale ya vyumba vitatu, kimoja master, jiko, public toilet, dinning, sitting na store. Kiwanja ni 27*18 bei ni maelewano, Nyumba ipo Msomi! Boda 1000 kutoka Msumi center!

Kama upo interested nitafute 0782100086
 
Japo picha mfanyabznes please

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Pagale ya vyumba vitatu, kimoja master, jiko, public toilet, dinning, sitting na store. Kiwanja ni 27*18 bei ni maelewano, Nyumba ipo Msomi! Boda 1000 kutoka Msumi center! Kama upo interested nitafute 0782100086
Hivi watu hua hamtumii akili kupost au shida Nini??? Mi nilivyoona jina Msomi nikajua na post ya kisomi, kumbe kichomi. Sasa wewe unapost tangazo hujaandika wilaya Wala mkoa, unafikiri Mimi wa Masaki Nakujua huko Msumi sijui Msomi... Na hela ipo hapa Mfuko wa Shati la Kitenge...
 
Kwa hio bei ya mil 58 sijui utampata Nani,halafu kuta Zina fungus hatari.Upande wa jikoni huku Kuna nyufa mpk nyumba inaweza kudondoka.
 
Mbona huo ukuta wa upande wa kulia umepinda sana?
 
Hivi watu hua hamtumii akili kupost au shida Nini??? Mi nilivyoona jina Msomi nikajua na post ya kisomi, kumbe kichomi. Sasa wewe unapost tangazo hujaandika wilaya Wala mkoa, unafikiri Mimi wa Masaki Nakujua huko Msumi sijui Msomi... Na hela ipo hapa Mfuko wa Shati la Kitenge...
Hii post
Kwa hio bei ya mil 58 sijui utampata Nani,halafu kuta Zina fungus hatari.Upande wa jikoni huku Kuna nyufa mpk nyumba inaweza kudondoka.
Mbona mm sijaweka bei mzee! Nimesema bei maelewano au Kuna mtu amenihack?
 
Hivi watu hua hamtumii akili kupost au shida Nini??? Mi nilivyoona jina Msomi nikajua na post ya kisomi, kumbe kichomi. Sasa wewe unapost tangazo hujaandika wilaya Wala mkoa, unafikiri Mimi wa Masaki Nakujua huko Msumi sijui Msomi... Na hela ipo hapa Mfuko wa Shati la Kitenge...
Msumi ipo wilaya ya Ubungo Dar karibu na Mbezi Makabe
 
Weka bei na picha sasa negotiation ifanyike
 
Back
Top Bottom