ampojoter4
Member
- Jul 19, 2015
- 12
- 4
Hivi watu hua hamtumii akili kupost au shida Nini??? Mi nilivyoona jina Msomi nikajua na post ya kisomi, kumbe kichomi. Sasa wewe unapost tangazo hujaandika wilaya Wala mkoa, unafikiri Mimi wa Masaki Nakujua huko Msumi sijui Msomi... Na hela ipo hapa Mfuko wa Shati la Kitenge...Pagale ya vyumba vitatu, kimoja master, jiko, public toilet, dinning, sitting na store. Kiwanja ni 27*18 bei ni maelewano, Nyumba ipo Msomi! Boda 1000 kutoka Msumi center! Kama upo interested nitafute 0782100086
Kwa hio bei ya mil 58 sijui utampata Nani,halafu kuta Zina fungus hatari.Upande wa jikoni huku Kuna nyufa mpk nyumba inaweza kudondoka.Pagale ya vyumba vitatu, kimoja master, jiko, public toilet, dinning, sitting na store. Kiwanja ni 27*18 bei ni maelewano, Nyumba ipo Msomi! Boda 1000 kutoka Msumi center! Kama upo interested nitafute 0782100086
Hii postHivi watu hua hamtumii akili kupost au shida Nini??? Mi nilivyoona jina Msomi nikajua na post ya kisomi, kumbe kichomi. Sasa wewe unapost tangazo hujaandika wilaya Wala mkoa, unafikiri Mimi wa Masaki Nakujua huko Msumi sijui Msomi... Na hela ipo hapa Mfuko wa Shati la Kitenge...
Mbona mm sijaweka bei mzee! Nimesema bei maelewano au Kuna mtu amenihack?Kwa hio bei ya mil 58 sijui utampata Nani,halafu kuta Zina fungus hatari.Upande wa jikoni huku Kuna nyufa mpk nyumba inaweza kudondoka.
Msumi ipo wilaya ya Ubungo Dar karibu na Mbezi MakabeHivi watu hua hamtumii akili kupost au shida Nini??? Mi nilivyoona jina Msomi nikajua na post ya kisomi, kumbe kichomi. Sasa wewe unapost tangazo hujaandika wilaya Wala mkoa, unafikiri Mimi wa Masaki Nakujua huko Msumi sijui Msomi... Na hela ipo hapa Mfuko wa Shati la Kitenge...