House4Sale Pagale linauzwa

House4Sale Pagale linauzwa

black chinese

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
1,148
Reaction score
1,228
Vyumba vitatu, kimoja masta
Limezungushiwa uzio wa matofali
Eneo ni kubwa
Umeme mlangoni
Liko kwenye barabara ya mtaa
Mita 500 kutoka barabara kuu inayoelekea Mtwara
Lipo Mkuranga
Kwa maelezo zaidi piga 0715 193 810

20230209_180605.jpg
20230209_180524.jpg
 
Duh mkuu hiyo bei sidhani kama utapata mteja,20M,huwezi punguza!?
 
Dah laki nane mbona ndogo kwa kiwanja hicho
 
Ha ha ha ha mleta uzi akija atashangaa kweli hizi comments zinahusu pagale lake!!
 
Ha ha ha ha mleta uzi akija atashangaa kweli hizi comments zinahusu pagale lake!!
Hapana siwezi kushangaa.. mi ni mmoja wapo wa waliobahatika kushiriki zoezi la sensa kwa ukamilifu, najua kwa jinsi gani idadi ya watanzania wenye changamoto ya afya ya akili ilivyo kubwa na hata idadi ya wanaume wanaohamia upande wa pili wa jinsia!.. any way..
bei ni 15m tu
 
Huo ndo utaratibu! huwezi Fanya biashara mtandaoni kama unaficha taarifa muhimu kama hiyo. Wateja njooni tumsapoti Mdau.
 
Back
Top Bottom