black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,228
Hata mimi nimeshangaa sanaDah laki nane mbona ndogo kwa kiwanja hicho
Mkuu hicho kiwanja kina mgogoro? Mbona Bei rahisi hivyo?Vyumba vitatu, kimoja masta
Limezungushiwa uzio wa matofali
Eneo ni kubwa
Umeme mlangoni
Liko kwenye barabara ya mtaa
Mita 500 kutoka barabara kuu inayoelekea Mtwara
Lipo Mkuranga
Kwa maelezo zaidi piga 0715 193 810View attachment 2512065View attachment 2512066
Kama eneo lina thaman ya 25,000 then its fairMbona bei kubwa sana? Kweli hili ndiyo la kuuza milioni 20?
Weka bei basi ili uonekane uko serious na biashara. Wateja wengine wakiona bei ndiyo huamua kupiga simu.Vyumba vitatu, kimoja masta
Limezungushiwa uzio wa matofali
Eneo ni kubwa
Umeme mlangoni
Liko kwenye barabara ya mtaa
Mita 500 kutoka barabara kuu inayoelekea Mtwara
Lipo Mkuranga
Kwa maelezo zaidi piga 0715 193 810
View attachment 2512065View attachment 2512066
Hapana siwezi kushangaa.. mi ni mmoja wapo wa waliobahatika kushiriki zoezi la sensa kwa ukamilifu, najua kwa jinsi gani idadi ya watanzania wenye changamoto ya afya ya akili ilivyo kubwa na hata idadi ya wanaume wanaohamia upande wa pili wa jinsia!.. any way..Ha ha ha ha mleta uzi akija atashangaa kweli hizi comments zinahusu pagale lake!!
Huo ndo utaratibu! huwezi Fanya biashara mtandaoni kama unaficha taarifa muhimu kama hiyo. Wateja njooni tumsapoti Mdau.Hapana siwezi kushangaa.. mi ni mmoja wapo wa waliobahatika kushiriki zoezi la sensa kwa ukamilifu, najua kwa jinsi gani idadi ya watanzania wenye changamoto ya afya ya akili ilivyo kubwa na hata idadi ya wanaume wanaohamia upande wa pili wa jinsia!.. any way..
bei ni 15m tu