House4Sale Pagare inauzwa msakuzi

House4Sale Pagare inauzwa msakuzi

Joined
Feb 8, 2019
Posts
94
Reaction score
124
Pagale linauzwa lipo mbezi msakuzi.


Details:

Ni nyumba kubwa na ya kisasa, yenye vyumba vinne vya kulala, viwili masters na viwili vya watoto, sebule na dining yake, jiko na store yake.

Haijamalizika kama inavyoonekana


Documents

Kiwanja kimepimwa kina ukubwa wa sqm 600(20*30) na mawe yamepandwa ila hati ipo kwenye mchakato.

Hati itatoka kwa jina la mnunuzi.


Location:

Mbezi msakuzi karibu na kituo cha afya cha hekima.

Mtaa ni mzuri sana na umejengeka


Bei:

Tsh. Million 17tu

(mazungumzo yapo). Mawasliano:

Call&whatsapp;0765532858

Call&whatsapp;0673540985
IMG-20190912-WA0004.jpeg
IMG-20190912-WA0011.jpeg
IMG_20190912_092612_806.jpeg
IMG_20190912_092612_837.jpeg
IMG-20190912-WA0006.jpeg
IMG-20190912-WA0005.jpeg
 
Back
Top Bottom