Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nimeikuta mahali maelezo ninayodhani ni ya kisayansi zaidi kuelezea jinsi Pager hizo zinavyofanya kazi na zililipukaje. Habari ndiyo hiyo.
Soma: Watu 9 waripotiwa kufariki baada ya vifaa vya mawasiliano (Pager) za Hezbollah kulipuka kwa mkupuo; Balozi wa Iran nchini Lebanon aripotiwa kujeruhiwa