'Paid' intenship opportunities for health proffessionals

Azizi Mussa

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2012
Posts
9,186
Reaction score
7,492
Kuna nafasi chache za 'internship' zenye malipo kwenye kituo kimoja cha afya Dar es salaam.

Vijana wanaoweza kupata nafasi ni kama ifuatavyo;

1. Clinical Officer (Tabibu)Mwenye leseni.
2.Assistant Lab Technician (awe na leseni)
3.Phamacetical technician/ assistant pharmaceutical technician
4.Enrolled Nurse (certificate)
5.Health attendant.

Sifa
* Mwombaji awe na vyeti na leseni kwa kazi zinazohitaji leseni.

* Mwombaji awe mwadilifu, muungwana na anayejituma.

* Mwombaji awe yuko Dar es salaam. Waliopo maaeneo ya tabata au ubungo itapendeza zaidi.

N.B
Watakaoonesha ufanisi na uaminifu kwenye kazi wanaweza kuajiriwa.

Kama kuna mtu yuko interested au anajua mtu ambaye yuko interested, atume Cv na vyeti kwenye document moja ya pdf kwenye PM hapo.

au tuma kwenye email pekinghealthcare@yahoo.com

Aidha, mwombaji hapaswi kulipia chochote kokote.
 
Hapo kwa Pharmacist na Registered Nurse, hiyo CERTIFICATE umemaanisha nini?

Sorry, hapo inakusudia muuguzi level ya cheti. Kwa serikalini ni huyu;

MUUGUZI DARAJA LA II - TGHS A . Sifa za kuajiriwa moja kwa moja Kuajiriwa wenye cheti cha Uuguzi cha miaka miwili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali na kuandikishwa (Enrolled) na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania.
 
Diploma inabidi aitwe Pharmaceutical technicial..kwa kiswahili mbunifu dawa.
pharmaceutical technician.na certificate ni assistant pharmaceutical technician. Yaana mteknolojia wa dawa, na mteknolojia wa dawa msaidizi. great!
 
Hapo umeeleweka, na kwa Nurse tofautisha Enrolled na Registered…. kila la kheri.
 
Kuna nafasi chache za 'internship' zenye malipo kwenye kituo kimoja cha afya Dar es salaam.

Vijana wanaoweza kupata nafasi ni kama ifuatavyo;

1. Clinical Officer (Tabibu)Mwenye leseni.
2.Assistant Lab Technician (awe na leseni)
3.Phamacetical technician/ assistant pharmaceutical technician
4.Enrolled Nurse (certificate)
5.Health attendant.

Sifa
* Mwombaji awe na vyeti na leseni kwa kazi zinazohitaji leseni.

* Mwombaji awe mwadilifu, muungwana na anayejituma.

* Mwombaji awe yuko Dar es salaam. Waliopo maaeneo ya tabata au ubungo itapendeza zaidi.

N.B
Watakaoonesha ufanisi na uaminifu kwenye kazi wanaweza kuajiriwa.

Kama kuna mtu yuko interested au anajua mtu ambaye yuko interested, atume Cv na vyeti kwenye document moja ya pdf kwenye PM hapo.

au tuma kwenye email pekinghealthcare@yahoo.com

Aidha, mwombaji hapaswi kulipia chochote kokote.
Kuna mtu alisema ajira ni za diploma...wenye degree wakae pemben..haya maMD waendelee kuzurura kitaa 😂😂
 
Ni sahihi, hao ndio watendaji, wenye elimu kubwa hao mameneja ambapo uhitaji wao ni mdogo . au unajua ile pembe tatu?
 
Back
Top Bottom