Painfull truth men should agree


...Dah! kumbe ndio maana?...haya bana. Najivua gamba kuanzia leo.
 
aBSOLUTELY AISEE.... AS A MAN, UKIONA UNAZUNGUSHWA MARA TATU, JUA UKO KWENYE FILTRATION PROCESS TU!!! WA UKWELI HUPEWA AU HATA KUFUATWA MWENYEWE


This is absolutely true na wala hakuna ukweli mwingine kokote utashinda semi hizi.
Lakini je ni kwa sababu sisi wanaume tunapenda vitu vizuri vyote, tuwe juu ya akina dada bila kuteswa kama tunavyowatesa? I guess tuko biased with the following confession: Mara ngapi tunawapanga akina dada katika ahadi, hata watatu kwa siku kama dose ya paracetamol (kila mtu na muda wake) kutegemeana na weakness ya mwanaume psychologically? Mara ngapi akina dada zaidi ya wawili wanatupigia simu za mapenzi na tunawachunia au kuwa ignore wakati tuko busy na wengine? kumbe mkuki kwa nguruwe....!!!!!!!!! Tukubali kuwa in both ways (reciprocally) hii kitu inabore maana the core reason ni mtu (gents and ladies) kuwa na mahusiano kwa mpenzi zaidi ya mmoja na hivyo kujaribu kuwatumia wote at his/her own convenience. Lakini kama tungekuwa wakweli tu tangu mwanzo, kusingekuwa na malalamiko toka pande zote coz mtu angetongozwa (me/ke) akasema yuko na mtu na huyu mtongozaji asingepoteza resource zake bure kumfuatilia. LESSON: TUWE WAKWELI NA WAAMINIFU KWA MPENZI MMOJA TU NDO HUU UPUUZI UTAPUNGUA!!
 

Hahahaaaaa.... Mkuu umefungua mlango wa pili wa diskasheni

Ngoja nipumzike kigodo na hangover then ntarudi:nerd:
 
I am not sure, I am different. What I have noted is that although women have similarities on what they want and desire, they also differ significantly......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…