Pains Over My Sister’s Pregnancy For My Husband…

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Habari wana JF
Naomba msaada maana hapa nilipo nimekaribia kuchanganyikiwa baada ya kutendwa na mtu niliyempenda na kumuamini sana hapa duniani....
Mimi ni mama wa mtoto mmoja lakini nina majonzi sana kisa kimeanza pale nilipomkaribisha mdogo wangu wa tumbo moja aje kukaa na mie kumbe mme wangu akaanza kutoka nae ...,hii imepelekea mdogo wangu kubeba mimba miezi 6 sasa nilipomuuliza ya nani akasema ni ya mtu iko siku nitamuona ..nilipomuomba amlete ili mme wangu amuone akadai ni pacha wa mme wangu..mara akaanza dharau kwangu nilipoendelea kumuhoji kwa kumtishia nimrudishe kijijini ndipo alipodai mimba ya mme wangu.....
Nilipomuuliza mme wangu alianza kulia na kudai nimsamehe sana amejaribu sana kumwambia mdogo wangu akatoe hiyo mimba ili asiniumize pale nitakapogundua lakini mdogo wangu alikataa na kudai amepata alichokua anakihitaji
Natamani kuikimbia hii ndoa iliyodumu kwa 12 years
Naomba msaada wenu ndugu zangu
NB : Sio mie FL1 na mama mwenzetu muathirika wa ndoa:A S embarassed:
 
.
The Following User Says Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:

Teamo (Today)​
 
Kwa nini asimtimue huyo mdogo wake hapo nyumbani maisha yakaendelea??
 
kuna mambo yanaumiza sana maishani jamani, mojawapo ni hili, hapo hakuna undugu hakuna mume...mbona huyo mdogo kawa na jeuri hivyo kweli anadhubutu kumuona dadake anateseka hivyo juu yake? mambo mengine ni laana tupu.
 
firstlady,
WHO IS TO BLAME HERE?
 
Kwa nini asimtimue huyo mdogo wake hapo nyumbani maisha yakaendelea??
AKIMTIMUA.....!then what?
na maisha yataendelea kwa maana gani?
mimba itaandagoo sublimation?
jamaa hataweza kuonana na huyo ''shemeji kula?''
 
pole FL kwa yaliyokupata mshirikishe mungu ila wewe ulijitakia kwanini ulimruhusu mdogo wako awe anaenda na mumeo out tena akiwa amevaa nguo tatanishi?

Hata ukimtimua mumeo atampangia nyumba na kuwa nyumba ndogo halali kwa hiyo washirikishe wazazi wenu kwenye hila jambo hapa JF utaambiwa mengi
Pole sana FL japo unakata kuwa siyo wewe haiwezekani kila mleta mada ya kuomba msaada awe anakataa kuwa siyo yeye ni ya mtu mwingne kwa hiyo ninakubaliana na utashi wangu kuwa suala hili ni lako na naomba usikanushe!!
 
Kwa nini asimtimue huyo mdogo wake hapo nyumbani maisha yakaendelea??
hii issue haijatulia kwa kweli maana ni kesi ya ukoo . FL1 mpe pole bi mkubwa. Kama ni kutimua awatimue mtoa na mpokea mimba au awaache wote yeye ndo ajitimue. Kama ana moyo wasameheane maisha yasonge
 
Kwa nini asimtimue huyo mdogo wake hapo nyumbani maisha yakaendelea??

JS mdogo wako wa kuzaliwa kuwa na uhusiano na mume wako na mimba juu kumtimua na maisha yaendelee?...wewe! huoni kwamba hiyo familia imeshasambaratika kwa namna moja au nyingine? hakutakuwa na amani kwenye ndoa/familia za pande zote mbili, hapana kwangu hii ndoa haitakuwa na amani tena kabisa.
 
hapo kwenye red hapo............!
hakuna mazingira ya kubakwa kabisa
 
unajua ninyi wakina mama kuna kitu kimoja mnatakiwa kukifahamu kuwa kiko tu.......

1)-INFIDELITY IS THERE TO STAY......!mimi nalia na huyo infidelator kwa kuruhusu ''mazingira ya mimba''.basi
2)-
3)-
 
 
unajua ninyi wakina mama kuna kitu kimoja mnatakiwa kukifahamu kuwa kiko tu.......

1)-INFIDELITY IS THERE TO STAY......!mimi nalia na huyo infidelator kwa kuruhusu ''mazingira ya mimba''.basi
2)-
3)-

hata nikikubali....lakini ndio iwe kwa ndug yangu wa kuzaliwa?
 
Sa kila siku maharage tuuuuuu akibadilisha tembele,,,,unategemea nini.
 
Kwa nini asimtimue huyo mdogo wake hapo nyumbani maisha yakaendelea??


Ni kweli dada anaweza kumtimua na je maumivu ya moyo yatakwisha vip akimtizama huyo mmewe
 
hilo tatizo ni kubwa sana na ni la kudumu maana huwezi kulikimbia liko ndani ya familia tayari hata ukiachana na mume wako bado mdogo wako amezaa nae utakutana nae kila siku na kuzidi kuuchoma moyo wako na kila umwonapo mtoto atakayezaliwa utatoneshwa yale maumivu ya kusalitiwa

Hapo cha maana ni huyo mke kuomba talaka, na kama akihamua kukomaa basi atakuwa na moyo wa chuma ila mapenzi kwa mumewe sidhani kama yataendelea kama awali

Ili swala ni gumu sana hapo ndio utaona umuhimu wa wazazi kama unao kuja kusuruisha maana linahitaji busara ya wazee ambao wameona mengi na kuyatatua kwa njia tofauti tofauti ila ni mtihani mkubwa sana

mimi ni roho ya paka sana ila hii topiki imenisononesha na kujikuta namuonea huruma sana aliyetendewa maana kovu lake aliwezi kufutika milele
 
kwakweli wakina mama kuna parameters ambazo technically huwa hamuziangalii IN THREE DIMENSIONS......!

unamletea mtu ''mboga'' nyumbani,tena kwenye kipindi ambacho ''una mtoto mmoja tayari...''

ndo maana mi huwa nadiskareji sana hii HOUSEGIRL MATERIAL na upuuzi wake wote...!lakini wake zetu hawaelewi!

unajua ''INFIDELITY'' is NATURALLY THERE!....
IT IS THERE TO STAY!....ukiijengea mazingira tu,kwishnehi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…