Hahahaha nimepata mzigo lainiiiii Kigogo huku ulivyo heavy tunaweza wapa kero majirani.
Naomba location ya kule godoro linawekwa mchanga.
Asprin lugha ya taifa inakupa tabu wewe..............halafu ujue kuwa tunaweza kukukosesha ubunge kwa hilo tu!...tukasema si raia!:smile-big:
Habari wana JF
Naomba msaada maana hapa nilipo nimekaribia kuchanganyikiwa baada ya kutendwa na mtu niliyempenda na kumuamini sana hapa duniani....
Mimi ni mama wa mtoto mmoja lakini nina majonzi sana kisa kimeanza pale nilipomkaribisha mdogo wangu wa tumbo moja aje kukaa na mie kumbe mme wangu akaanza kutoka nae ...,hii imepelekea mdogo wangu kubeba mimba miezi 6 sasa nilipomuuliza ya nani akasema ni ya mtu iko siku nitamuona ..nilipomuomba amlete ili mme wangu amuone akadai ni pacha wa mme wangu..mara akaanza dharau kwangu nilipoendelea kumuhoji kwa kumtishia nimrudishe kijijini ndipo alipodai mimba ya mme wangu.....
Nilipomuuliza mme wangu alianza kulia na kudai nimsamehe sana amejaribu sana kumwambia mdogo wangu akatoe hiyo mimba ili asiniumize pale nitakapogundua lakini mdogo wangu alikataa na kudai amepata alichokua anakihitaji
Natamani kuikimbia hii ndoa iliyodumu kwa 12 years
Naomba msaada wenu ndugu zangu
NB : Sio mie FL1 na mama mwenzetu muathirika wa ndoa:A S embarassed:
Hahahaha nimepata mzigo lainiiiii Kigogo huku ulivyo heavy tunaweza wapa kero majirani.
Naomba location ya kule godoro linawekwa mchanga.
nyie wazee mctupoteshee thread.
Teamo usicheke tunatia huruma ati... ah:becky::becky::becky::becky::becky::becky:
loud and clear
Dada yangu kama ni wewe au shoga wako yote sawa, ila mimi kwa ushauri wangu ni kwamba kwakuwa mumeo ameomba msamaha, wewe msamehe na umpe masharti ya kumfukuza mdogo wako. Jambo la kusema umwache utafute mume mwingine nasikitika utaruka mkojo na kukanyaga mavi. Mimi ninauhakika atajirudi huo mumeo kwa kosa alilofanya. Msamehe na endelea na ndoa yako, ila uwe mjanja iwe ni ndugu yako au rafiki yako usimmpe uhuru sana wa kuwa karibu na mwenzi wako. Somo!!!!
muahahaha ..........asprin ushadata wewe! ati unamtafuna mdogo wake wife! loh
Si ndio mada ya leo mheshimiwa mwalimu wangu?
We kama mdogo wako anatafunwa na mmeo, mshukuru sana Mungu, angalau damu haitoki nje. Si afadhali mdogo wako akusaidie mjengo kuliko kina Eliza? Au na hapa niko ofu topiki a.k.a yuzifuli sredi?
Hahaha! Unakula kona pale maeneo ya Basihaya, upande wa Who Told You. Moja kwa moja mpaka Ununio Beach. Mzee unamtafuna mdogo wake waifu, ukifumaniwa ujue Bikira Maria hajalala huko aliko...
Hahahaha vp mdudu yupo hapo?
Nikifika Ununio Beach ndo nimefika?
Zigo lenyewe ukiliona nahofu unaweza ukanipora lazima niwe na takukuru pembeni lasivyo sikuamini mpwa.
:becky::becky::becky:!...Hahaha! Unakula kona pale maeneo ya Basihaya, upande wa Who Told You. Moja kwa moja mpaka Ununio Beach. Mzee unamtafuna mdogo wake waifu, ukifumaniwa ujue Bikira Maria hajalala huko aliko...
yaani damu isiende nje ndo pointi yako wakati great thinkers weshajadili na kufikia makubaliano kuwa Eliza ni yes kwa kiasi fulani, damu ikihusika ni No kwa kiasi kikubwa.
Mungu hawekeki kando my darling sisteri. Katekisimo niliyoisoma wakati ule nikiwa na hobi ya kuiba divai kanisani na kuinywea kwenye kachumba ka kuungamia iliniambia kuwa MUNGU YUKO MAHALI POTE. Hata hapa mnapodiskasi hii yuzifuli sredi yenu, yuko hapo kwenye skriini yako na kwenye kiibodi.mhhh..muweke huyo kando kwenye hili plz.
Dah!huu ni mtihani tena asilimia ya kufaulu ni ndogo sana kama busara haitatumika zaidi,kweli kikulacho ki nguoni mwako tena inawezekana kwenye chupi,mdogo wang ningemfukuza lkn mume wangu ningempa worning ya nguvu maana na nimeambiwa kifo tu kitutenganishe,but wazazi wa pande zote mbili wangejua wat :confused2:
kuna watu mna moyo kwa kweli.
Rule no 5 ya Infideletaz: KIZURI KULA NA NDUGUYO!! Mpwa unaniangusha namna hii..........:welcome: