:becky::becky::becky::becky:Kaka/dada, mimi nna mke na vibinti viwili. Nikimkuta kaka yangu ananimegea waifu kwa kweli ni afadhali kuliko nikute jitu baki. lol
Kama wewe ni mwanaume, hebu njoo ujaribu kwa waifu wangu ili wenzio wapate fundisho kupitia kwako.
..Mkuu, Mizaha hiyoo!! Kesha Ukiomba ili siku moja usimkute mdogo wako wa toka nitoke anajituma kisawasawa juu ya kifua cha shemeji yetu! Sijui kama utaweza kuja ku 'Sign In' JF na kutuambia maneno haya uyasemayo sasa...!😱hwell:
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky: hapo mkuu anajikunja kama nyanikizuri kula na nduguyo au sio?
cha muhimu tu USIBAKE...!
ukiwa na uwezo wa kushawishi au UKIJENGEWA MAZINGIRA,kula tu....
SHEMEJI KULA WANAITA WAKINA MKUUU P-O-N-J-O-L-O:becky::becky::becky:
mi sioni tatizo hapo!hakuna mazingira ya ''ubakaji'' wala ''vinginevyo''......!
unajua huyo dadaangu angekuwa ''forced'' any how again nikaproove,I WOULD HAVE FALLEN TO huyo shemeji kama mvua ya mawe...!kinyume na mazingira hayo mimi nitamlaumu na kumdharau sana dadaangu....!
HIYO NDIYO IMANI YANGU
utamuua kivipi sasa wakati ''mshikiiz'' KWA RIDHAA YAKE kamuachia bwanamdogo afanye mautundu?Jamaa alikuwa anaongelea mke "mshiki", unakuta mdogo wako amejikunja anapima ma-daimensheni yenu yale... Utamuua nduguyo?
unajikunja kama MKADANGE....!:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky: hapo mkuu anajikunja kama nyani
Narudia tena, na naomba nirudie kwa msisitizo:
Kama waifu wangu anamegwa na kaka yangu toka nitoke ni afadhali mara 100 kuliko mtu baki kama wewe unimegee. Kama unabisha nikutumie namba zake za simu uanze mchakato ili utoe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo.......... Kitakachokutokea hata ziraili mtoa roho hatapenda kukishuhudia.
Ni heri nilee mtoto wa kaka yangu ailyemzaa na mke wangu kuliko nilee mtoto wa Kaizer aliyezaa na mke wangu......Period!!!
Maaskofu wengine wanahitaji Yesu arudi mara ya pili. Mungu wangu aliyejuu hapendi watumishi wake watumie haya malugha. Sasa inamisheni vichwa tumuombee...Jamaa alikuwa anaongelea mke "mshiki", unakuta mdogo wako amejikunja anapima ma-daimensheni yenu yale... Utamuua nduguyo?
Jamaa alikuwa anaongelea mke "mshiki", unakuta mdogo wako amejikunja anapima ma-daimensheni yenu yale... Utamuua nduguyo?
utamuua kivipi sasa wakati ''mshikiiz'' KWA RIDHAA YAKE kamuachia bwanamdogo afanye mautundu?
:confused2::confused2::confused2:unajikunja kama MKADANGE....!
hapo ndipo ninapozidi kuchoka Mwanajamii mie ah........... wenye nguvu za kupenda endeleeni hata siwaonei wivu hata kidogo.
That is the one differnece between a girl and a woman.
A woman has history behind her.
a woman has 'Mona Lisa Smile' when is required
a woman has very happy memories of life
a woman has very painful memories in her mind,
a woman has a shoulder, a chest to carry life,
with support from each others we can go thru life together,
Dear WF, mpokee mumeo, kama mtu mpya baada ya kufunguka macho, you will never take time back.
you have to move forward
MBELE, MBELE MBELE,
yabebe mamii, uendelee na maisha, do not breakdown altogether, just for a little while,
mambo ya kufanya ni mengi kwa kutegemea na mazingira, ila kwa uhakika huyo binti aondoke kwanza.
Natangaza Rasmi kuwa mshiki wangu Haika ndiye mwanamke bora wa mwaka 2010 hapa JF.
Anazijua, anaziheshimu, anazitetea, anazitii, anazithamini na kuzikubali Mila Zetu Halali na Bora kabisa za Kiafrika!
Udumu Haika!! Go Haika Go................. Na kama hiyo haitoshi, kamata na hii hapa...
The Following User Says Thank You to Haika For This Useful Post:
Asprin (Today)
Kama hutajali hebu twende PM kidogo tukajadili hizi mila zetu kwa kina zaidi.:welcome::welcome::welcome:
Narudia tena, na naomba nirudie kwa msisitizo:
Kama waifu wangu anamegwa na kaka yangu toka nitoke ni afadhali mara 100 kuliko mtu baki kama wewe unimegee. Kama unabisha nikutumie namba zake za simu uanze mchakato ili utoe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo.......... Kitakachokutokea hata ziraili mtoa roho hatapenda kukishuhudia.
Ni heri nilee mtoto wa kaka yangu ailyemzaa na mke wangu kuliko nilee mtoto wa Kaizer aliyezaa na mke wangu......Period!!!
Nimekuelewa ndio maana nimekugongea senksi!sijui kwa nini nahisi hujanielewa!!!!!
Kaka yangu anazo namba za mai darling waifu wangu. Ajaribu bahati yake mwenyewe kama atakubaliwa, ntakuwa sina jinsi......Kwa vile umeishasema hata Ziraili atashindwa kuangalia kilichonitokea, siwezi kujaribu. maisha matamu, ati!:becky: Ila ukitafuta namba baki ukaituimia kumtumia kaka yako namba ya shemeji yetu aanze mchakato halafu afanikiwe, hapo we hutakuwa na neno kwa vile ni internal affairs, sio ndio mkuu?? Haya, bana. :whistle:
Si unaona nimekwambia nimekuelewa?Anyway my point is:
maziwa yameshamwagika, hayazoleki.
hakuna haja ya kutupa mwana na mbeleko, ameichafua, unafanyaje?
mbeleko ni chafu, sana sana utaitupa kama hutaki kufua, lakini mtoto, humtupi, ila utakuwa na tahadhari wakati wa kumbeba si tena kama mwanzo.
kwa kufupi alichofanya huyo shemeji ni kichefuchefu!!!!
kumtazama kunataka moyo, sembuse kuishi naye, inabidi ujikaze kama mwanamke. ila kama haiwezekani basi aondoke, akuache uendelee kulea familia