Pains Over My Sister’s Pregnancy For My Husband…

Ewaaa.... we umenielewa. Huo sasa ni Uamuzi wa mwanamke au mwanaume shoga.

Mkuu naona marathon ya leo imeniacha hoi. Ngoja nikaongeze glucose kwanza ndo nipate kitu cha kuweka endapo nitadonoa keyboard.

Labda hapa, hebu weka sawa kidogo,...sasa kama kumega ni uamuzi wa mwanamume na kumegwa ni uamuzi wa mke/bwabwa, nana ana veto?

Ila hoja yako ya mambo ya kumegana kati ya ndugu imenigusa sana. Kuna kabila moja (enzi hizo kabla ya ukimwi) ilikuwa ni mwendo wa mduara. Shemeji zako wote (kwa mke na kaka/wadogo zako) ilikuwa ni msosi halali. Nadhani siku hizi imepungua sana. Baba Enock atakupatia ushuhuda zaidi!
 
We Asprin weweeee!!
kurudi kama awali haiwezekani, ila kuishi nyumba moja na kulea watoto, au kuendelea kuheshimu ndugu, kuacha kulalamika kila mahali na kutukana ndio nasema afanye
wewe vipi??
hakuna kuendelea kama zamani,
kusamehe kunatakiwa
ila kuishi kwa mapenzi na kuaminiana kama zamani si rahisi, kutataka muda na jitihada
kuna stori nadhani nilishawahi kuitoa hapa huko zamani:
kaka mmoja alifanyiwa visa na mkewe kwa muda hata ikabidi aite familia zote mbili na kumuuliza binti kwa nini anafanya vituko na hadi na vijana wadogo, yeye alikiri mbele ya familia zote kuwa ni kweli. Basi hapo kila mmoja alijua ndio mwisho wa mchezo, lakini wajikaza wakasameheana, baada ya miaka miwili wakarudiana.
sasa kumbe yule dada aliona kuwa kuendelea kuishi na yule kaka ni proof ya ujinga wake, akaanza dharau hadi siku moja kaka akaamua abebe begi lake na kuondoka.
 
Ni kweli dada anaweza kumtimua na je maumivu ya moyo yatakwisha vip akimtizama huyo mmewe

Kwa hiyo mnasemaje sasa? Aendelee kukaa nao nyumba 1 na huyo mdogo mtu atakuwa na roho gani ya kuendelea kukaa hapo after hurting her sister that much? Cha msingi wamwodoe hapo, it is her choice and its it her life! "Time heals" akishaondoka watasahau.
 
1. Kosa la uzinzi ni kunja ndoa no mjadala!

KIVIPI:

2. Bila kumfanya mdogo wake ashtukie wala mumewe ... ajiandalee kisaikolojia, finacialy, kimahusiano... and all other paramiters.. Ajiandae kuomba talaka... asifanye papara ya kuondoaka kwa mmewe ..issue ilikuja ghafla so a focus kuondoaka na polepole ajiandaee... Na ikiwezekana ... amfaye mdogo wake aoelewe/awe commited na mwanaume mwingine...!! Hayo maandalizi lazima yafikie mahali yawe tayari!!

3. Finaly..... Lazima amuache huyo mume hatimaye tena kwa maelezo ya kilichotokea!! Tena kwa kumshtukizia na wakati huo huyo mdogo wake akiwa kwingine!!

Kama hawezi kufanya haya .... she is weak na aendelee na ndoa yake na aliee familia ...!!! Kwani yeye ndio tatizo!!
 
hamna dada wala mume hapo...wote out of your life...how do u live with that betrayal???
 
Kaka/dada, mimi nna mke na vibinti viwili. Nikimkuta kaka yangu ananimegea waifu kwa kweli ni afadhali kuliko nikute jitu baki. lol

Kama wewe ni mwanaume, hebu njoo ujaribu kwa waifu wangu ili wenzio wapate fundisho kupitia kwako.
Mmmm hii kali
 
hawa watu huwa hawashibi mama usijidanganye kuacha familia yako ukakimbilia kokote unaweza kukutana na sinema nyingine isiyotizamika anza kurasa mpya ukiwa macho zaidi ulee mwanao msamehe huyo baba ukibeba sana mizigo mingi na malalamishi utachoka/kuzeeka haraka na atakuchoka kimya endeleza libeneke atakuheshimu
 
mume wa kumega mdogo wangu anaweza hata kumega mwanaye, wanawake wote hao mpaka mdogo wangu!? hapo hamna mue wala ndugu hapo!
 

Tupo pamoja hapa Aspirin. Bado ni damu yako.
 
Kwa nini asimtimue huyo mdogo wake hapo nyumbani maisha yakaendelea??

nina jirani yangu mkewe alileta mdogo wake jamaa ni mwalimu basi mkewe akienda tu kwenye biashara na jamaa anatoka mbio kurudi hm anamsarandia mdogo mtu halafu anarejea kzn mkewe ilibidi amrudishe mdogowe bush
 

Hilo litabia kama mtu analo analo tu, hata ukibanana naye 24hrs. kwani huyo yaliyomtokea alikuwa mbali na mumewe?
Hii ya kusema wanawake wakiondoka ndo unampa mwanya mwanaume kutembea ovyo yanakatisha tamaa wamama kuendelea. mbona wababa wanaondoka na kuacha familia zao na wadogo zao wa kiume na wanazikuta salama?
 

Dahh huu nitakupa Contact zake za cmu umpe haya maneno mwewe mwenyewe
 
First Lady number one!

Im dying to get the contact... siunajua mwenzio is in deep pain!!

Jeez mbona haraka namna hii ...usijemsababisha dada wa watu afanye maamuzi sivyo ndivyo:eek2:
 
Du lisredi limekata page hili!

Well hii ni test kubwa kwa wanandoa; mwenzio amekosa namna hii; unaweza kumsamehe na pia unaweza kumfutilia mbali kwenye uso wa dunia; It depends....................I mean there are two tings involved..........whether you still love him or u don't!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…