Pains Over My Sister’s Pregnancy For My Husband…

firstlady,
WHO IS TO BLAME HERE?

Very simple T, ni yule aliyefuga panya kwenye debe la unga. Alitegemea kulikuta limejaa? Kama limejaa au la hayo ndiyo malipo ya kazi zi yake.

FL1, kilema cha ukubwani hakikimbiwi. Unakivumilia hadi unakufa nacho. Huyo dada akubali matokeo na aanze kujipanga kwa maisha bada ya hii turning point. Kama mila zinaruhusu (kama kule kwetu) basi huyo shemji yetu mwenye tamaaa ya fisi aachwe awababe wote wawili.

Ila kwa akina mama wengine, ...ni hatari kukaribisha mwanamke yeyote kwako hata kama ni wifi yako. Nyamayao alishasema kuwa, mwanamume ni kiumbe anayeweza kuaminiwa na kuwa na staha endapo kile kichwa kingine hakijaanza vurugu. Vinginevyo anakuwa mnyama kama wale wengine wa porini tunaowajua.
 
Sa kila siku maharage tuuuuuu akibadilisha tembele,,,,unategemea nini.



KakaJambazi na wewe siku mkeo akibadilisha akala maharagwe badala ya wewe, na akaleta kiumbe basi pia umsamehe kwa moyo mweupeeeeee
 
kuna mambo yanaumiza sana maishani jamani, mojawapo ni hili, hapo hakuna undugu hakuna mume...mbona huyo mdogo kawa na jeuri hivyo kweli anadhubutu kumuona dadake anateseka hivyo juu yake? mambo mengine ni laana tupu.

Nakwambia maajabu hayataisha duniani Nyamayao... inaumiza sana naona siku hizi hakuna undugu amani imekwisha kwenye familia zetu
 
hivi vitu vipo nimewahi kuona kesi kama hii mtu alizaa na mdogo wa mke wake na baada ya mke kumtimua mdogo wake jamaa akampangia chumba akawa anaendelea, wale wanandoa walikuwa na migogoro mpaka watoto wao wakaathirika kisaikolojia darasani kuna mmoja alikuwa 3 akadrop mpaka wa pili kutoka mwisho ikabidi ndugu zao waje kuwachukua watoto na mkubwa kabisa akapelekwa boarding. Ilikuwa utata mkubwa sana halafu yule m/ume haelewi yaani ndg wanakuja kusuluhisha kutoka mikoani wanafikia kwake wanakaa kikao mchana jamaa jioni anaenda kwa mdogo mtu anarudi kesho yake tena sio asubuhi maana akitoka huko anaunganisha job anarudi jioni na nguo amebadilishia huko huko

Ila mpaka leo wale wanandoa wako pamoja na yule jamaa alimzalisha mdogo mtu watoto wawili
 

Si mimi naapa mbele za mungu si mimi AK siombei yanifike haya kwani ni mazito kwangu pale nitakapokuwa nikimtizama mdogo wangu na mme wangu ..eeeh mungu nipishie mbali hiki kikombe ni kizito sana:sleepy:
 

kaka hata kama wapo hapa napo kwa upande wao ni pagumu, hivi wasuluhishe nini wakakti mdogo mtu ana kiburi na wanafurahia kitendo alichokitenda?..ni issue ya dada mtu kuwaaacha waendelee mana ukisema unasamehe kumbuka hawa hawataachana, mume anahitajika kumtunza mtoto wake na kumtunza na mdogo wangu pia, familia mbili ndugu moja mnatumiwa na mwanaume mmoja...mbaya kabisa na haya magonjwa cjui kama mdada alicheki afya kabla ya kuamua kubeba hiyo mimba...
 

Duuuh haya mambo mazito loh:mad2:
 
loud and clear!......
hapo ndipo wanawake hutofautiana katika kufanya final-judgement!

from nowhere MWANAMKE NA AKILI ZAKE TIMAMU TENA AT THE AGES OF 30'S(umri ambao wanakuwa very active)....!anapaa kwenda uingereza KUFANYA MBA...!anamuacha jamaa home,tz tena anamleta mdogo wake awe anaishi hapo kuiangalia familia...!halafu anategemea patakuwa ''safe''
 

sasa jamani niwe muoga hata kwa ndugu yangu wa kuzaliwa?.....
 


Nyamayao kama ni wewe unafanyaje mpendwa ???
 

Huyu mwanaume ni bazazi kwanza sasa analia nini? Wakati anatenda hilo kosa alijua fika matatizo ambayo atakutana nayo at the same time vile vile alipokuwa anatembea na mdogo wa mkewe alijua kitendo hicho madhara yake mbeleni ni makubwa sasa anapomuomba msamaha mke wake itasaidia kitu gani sababu kama ni mimba tayari huyo mdogo wake mkewe ameishaishika nafikiri swala liwekwe wazi ziitwe pande zote mbili upande wa wazazi wa mwanamke na mwanaume waelezwe kilichotokea then hapo ndipo yatakapotolewa maamuzi.

Huyu mdogo wake mke wa huyu bwana anaposema amepata alichokuwa anahitaji ni kwamba alikuwa anahitaji mimba kutoka kwa mume wa dada yake mbona dunia imeishia hiii MUNGU NAOMBA UTUEPUSHE NA MABALAA HAYA
 
Si mimi naapa mbele za mungu si mimi AK siombei yanifike haya kwani ni mazito kwangu pale nitakapokuwa nikimtizama mdogo wangu na mme wangu ..eeeh mungu nipishie mbali hiki kikombe ni kizito sana:sleepy:

mie na imagine jinc ningevyobaki yatima kwenye hii duni pindi ningemfanyia hivi sis wangu, mana tupo wawili, unafanya hivi unamtanguliza yeye ahera kesho yake maam nyamayao..keshokutwa li mwanaume lililokufanya ukafanya upuuzi linakuacha....GOD FORBID.
 
sasa jamani niwe muoga hata kwa ndugu yangu wa kuzaliwa?.....
unajua dada lake mimi naomba uamini hivyo!
nakushauri uwe makini na hilo zaidi kwasababu litakuletea aibu kubwa kwenye familia!

ni kitu kinachowezekana kabisa!
kule BBA si umeona ule uchuro wa yule kijana aliyekiri kuwa alishawahi kuwa na mahusiano ''ya kimapenzi'' na mama na mwanae KWA WAKATI MMOJA
 
Ni kweli dada anaweza kumtimua na je maumivu ya moyo yatakwisha vip akimtizama huyo mmewe

Hiki ni kitu ambacho huyu mwanamke hatoweza kukisahau maisha mwake no matter what you do to her kumfanya ajisikie yamekwisha agange yajayo kuna vitu vingine its too hard to swallow them and you say kwamba i will forget yes you can forgive but that stays in your mind forever
 
Fl na wewe tafuta mdogo wake akupe ujauzito kisha msameheane na kuishi pamoja
 

Umeona eheee hata mimi ile statement nilipigwa na butwaa
 
Nyamayao kama ni wewe unafanyaje mpendwa ???

ningewaacha waendee na maisha na nina wac wac na undugu wangu kuendelea na huyo ndugu yangu...mume ndio ctaki hata kumuongelea coz huyo nicngempa hata sec kumruhusu kumuona mbele ya macho yangu...hili lickufike kabisa, hata ukisema unamsamehe mume bado familia ya mume haitaacha vimaneno, yani mtaonekana kama mbwa kasoro mkia.....hapana ni ngumu hii.
 

Kweli dada. Itakuwa ni kupoteza muda na resources kuanza kusafirisha ndugu (au hata hawatakiwi kusafiri) ili kuja kusuluhisha jambo ambalo limeshapitiliza. Kama ni mgonjwa tayari keshafariki. Kwa hiyo uamuzi anao huyo dada. Hata hivyo anaihitaji msaada wa Roho wa Bwana ili afikie uamuzi wa busara kabla hajakata koo la mdogo wake au kusaga balls za huyo mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…