FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #41
loud and clear!......
hapo ndipo wanawake hutofautiana katika kufanya final-judgement!
from nowhere MWANAMKE NA AKILI ZAKE TIMAMU TENA AT THE AGES OF 30'S(umri ambao wanakuwa very active)....!anapaa kwenda uingereza KUFANYA MBA...!anamuacha jamaa home,tz tena anamleta mdogo wake awe anaishi hapo kuiangalia familia...!halafu anategemea patakuwa ''safe''
unajua dada lake mimi naomba uamini hivyo!
nakushauri uwe makini na hilo zaidi kwasababu litakuletea aibu kubwa kwenye familia!
ni kitu kinachowezekana kabisa!
kule BBA si umeona ule uchuro wa yule kijana aliyekiri kuwa alishawahi kuwa na mahusiano ''ya kimapenzi'' na mama na mwanae KWA WAKATI MMOJA
hivi vitu vipo nimewahi kuona kesi kama hii mtu alizaa na mdogo wa mke wake na baada ya mke kumtimua mdogo wake jamaa akampangia chumba akawa anaendelea, wale wanandoa walikuwa na migogoro mpaka watoto wao wakaathirika kisaikolojia darasani kuna mmoja alikuwa 3 akadrop mpaka wa pili kutoka mwisho ikabidi ndugu zao waje kuwachukua watoto na mkubwa kabisa akapelekwa boarding. Ilikuwa utata mkubwa sana halafu yule m/ume haelewi yaani ndg wanakuja kusuluhisha kutoka mikoani wanafikia kwake wanakaa kikao mchana jamaa jioni anaenda kwa mdogo mtu anarudi kesho yake tena sio asubuhi maana akitoka huko anaunganisha job anarudi jioni na nguo amebadilishia huko huko
Ila mpaka leo wale wanandoa wako pamoja na yule jamaa alimzalisha mdogo mtu watoto wawili
fl1,Kweli mwanaume unamtamani mdogo wa mkeo????
Kweli dada. Itakuwa ni kupoteza muda na resources kuanza kusafirisha ndugu (au hata hawatakiwi kusafiri) ili kuja kusuluhisha jambo ambalo limeshapitiliza. Kama ni mgonjwa tayari keshafariki. Kwa hiyo uamuzi anao huyo dada. Hata hivyo anaihitaji msaada wa Roho wa Bwana ili afikie uamuzi wa busara kabla hajakata koo la mdogo wake au kusaga balls za huyo mume.
Kweli mwanaume unamtamani mdogo wa mkeo????
Kweli mwanaume unamtamani mdogo wa mkeo????
hivi vitu vipo nimewahi kuona kesi kama hii mtu alizaa na mdogo wa mke wake na baada ya mke kumtimua mdogo wake jamaa akampangia chumba akawa anaendelea, wale wanandoa walikuwa na migogoro mpaka watoto wao wakaathirika kisaikolojia darasani kuna mmoja alikuwa 3 akadrop mpaka wa pili kutoka mwisho ikabidi ndugu zao waje kuwachukua watoto na mkubwa kabisa akapelekwa boarding. Ilikuwa utata mkubwa sana halafu yule m/ume haelewi yaani ndg wanakuja kusuluhisha kutoka mikoani wanafikia kwake wanakaa kikao mchana jamaa jioni anaenda kwa mdogo mtu anarudi kesho yake tena sio asubuhi maana akitoka huko anaunganisha job anarudi jioni na nguo amebadilishia huko huko
Ila mpaka leo wale wanandoa wako pamoja na yule jamaa alimzalisha mdogo mtu watoto wawili[/QUOTE]
wana pepo hao khaaa.....watoto wangu niliowabeba miezi 9 na kuwalewa kwa kutokufunga jicho ucku cwatec coz ya mpuuzi 1.
Ofkoz...si ndo maana akawa mme......ila kwa nini umtege kwa kumletea mdogo wako???
Nimekumbuka kuna mdada mmoja alikuwa ananiambia siku akiolewa ataruhusu mdogo wake aje kukaa kwa mume wake kwasabu hata mdogo wake amuamini akawa anasema ni bora amaruhus strange kutoka nje aje kukaa kwao kuliko mdogo wake nikasema duh si mchezo mpaka mtu amefikia hatua ya kusema hivyo lazima kuna jambo somewhere
jamani kuweni na ubinadamu kidogo, ina maana nyie hamuwezi waleta wadogo/kaka zenu nyumbani na mie nikawaheshimu kama shemeji zangu, kwanini mdogo wangu ageuke mtego?
hivi mwanaume unajickiaje kabisa kumvua shemeji yako nguo, kweli unacmamisha? nasemaga kuna dharau lakini hii ya leo nitaiota, yewooomiii apa womi.
Kweli mwanaume unamtamani mdogo wa mkeo????
hivi mwanaume unajickiaje kabisa kumvua shemeji yako nguo, kweli unacmamisha? nasemaga kuna dharau lakini hii ya leo nitaiota, yewooomiii apa womi.
Huyo dada ana akili sana. Hakuna haja ya ku-take vitu for granted wakati mifano hai imezagaa kila mahali.
Kwa ndugu zangu wanawake....acha kabisa mchezo wa kuendekeza kukaa na ndugu zenu mbele ya waume zenu. Ni majaribu makubwa sana. Mimi nilikaa na shemeji yangu (5yrs ago) ila namshkuru Mungu sikuwahi kumtamani. Ila kuna vitu alikuwa anafanya hadi na shangaa. Yaani zaidi ya mara moja alikuwa anapita sebureni na night dress ambayo ni transparent hadi unaona kila kitu. Anyway, mawazo yangu hayakuwa huko ingawa ilikuwa ni jambo la hatari endapo siku moja shetani angetembelea hapo home.
hivi mwanaume unajickiaje kabisa kumvua shemeji yako nguo, kweli unacmamisha? nasemaga kuna dharau lakini hii ya leo nitaiota, yewooomiii apa womi.
kwakweli wakina mama kuna parameters ambazo technically huwa hamuziangalii IN THREE DIMENSIONS......!
unamletea mtu ''mboga'' nyumbani,tena kwenye kipindi ambacho ''una mtoto mmoja tayari...''
ndo maana mi huwa nadiskareji sana hii HOUSEGIRL MATERIAL na upuuzi wake wote...!lakini wake zetu hawaelewi!
unajua ''INFIDELITY'' is NATURALLY THERE!....
IT IS THERE TO STAY!....ukiijengea mazingira tu,kwishnehi