Juzi tu nilipata ajali, ila nikapona.
Lakini gari select saloon imeumia vibaya sana. Nataka kuitengeneza lakini rangi zinasumbua ni "dark foamred" zilizopo zinapauka,
nisaidieni technolojia ya kutunza rangi ya gari, pia kupinda cheses ni nini?
Hope kuna mechanical people hapa!
Soma How to Make My Dull Car Paint Shine? | eHow.comnisaidieni technolojia ya kutunza rangi ya gari
hii through google unaweza kutafuta forum za automechanics kupata ufafanuzi mfano kuna forum hii nimendika neno chasis bendingkupinda cheses ni nini?