Paja la aunt ezekiel..

Tik tak, picha ya kawaida hii, mwenyewe kapiga kwa pozi, so ruksa kumsifia.......
 
Post nyingine zinasababisha jamii forums ionekane kama kijiwe cha kujadili majungu na umbea.
Mfano ni hii thread iko very personal na haina maslahi kwa mtu mojamoja wa kwa taifa kwa ujumla
 
I agree with you 100%,Bora angemsifia basi kwa kusema cheki mtoto alivyotulia na siyo kusema Mali ipo Dukani bana,Huku siyo mahala pake
 
Post nyingine zinasababisha jamii forums ionekane kama kijiwe cha kujadili majungu na umbea.
Mfano ni hii thread iko very personal na haina maslahi kwa mtu mojamoja wa kwa taifa kwa ujumla

nisaidie Bujibuji......yaani kweli cjui JF imekuwaje, cjui nani wa kulaumiwa...khaaa!
 
Huyu ni Mwanamke au Mwanamme? Maanake Aunt halafu ezekiel, halafu alivyo?
 
Tatizo anachelewa mno kufika..........halowi kirahisi huyo.....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…