Taja kijiji ulichotoka nikwambie hicho kijiji chenu chote kama kina kanisa la Roma au laa, kama hatujakuta wilaya nzima ina kanisa moja tu la RomaKujusu RC unauhakika na unachokiongea ?
Hufahamu unachokionge.Taja kijiji ulichotoka nikwambie hicho kijiji chenu chote kama kina kanisa la Roma au laa, kama hatujakuta wilaya nzima ina kanisa moja tu la Roma
Mbona uko nyuma sana, hata sasahivi fatilia ulaya ni dini gani inakua kwa kasi ndo haohao waislam usiowataka
Vumilieni tu kutoswali mara moja moja sio mbaya, mbona mnavumilia kufanya uzinzi na bado mnaonekana mnampenda mwenyezi mungu.Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
Mufti mkuu analipwa mshara, nyumba, usafiri, matibabu nk na serikali kupitia Kodi za wananchiMahakama ya kadhi mulijengewa?
Kukua watakua.Mbona uko nyuma sana, hata sasahivi fatilia ulaya ni dini gani inakua kwa kasi ndo haohao waislam usiowataka
Na wakijenga makanisaTunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
Tawire🔥🔥🔥🔥Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
Bila kusahau kujenga MANDIR kwa sisi Wahindu.Sambamba na makanisa for RC, anglikana, othodox, kkkt. Wakimaliza hapo watukumbuke na sisi wapagani sehemu yetu ya kuabudia miungu yetu.
Kobazi hawana akili ,halafu waislamu wanazaana sana ,pia wao hata mtoto mchanga wanamuhesabu ni muislamuLucha unabeba vitu kwa mihemko, wala hujishughulishi kujua mantiki ya tamko fulani.
Kuhusu Uislam kuwa na ongezeko kubwa, ni sahihi, lakini haimaanishi kuwa waislam ni wengi Ulaya. Unakuta nchi ilikuwa na waislam 10 mwaka 1980, na mwaka huo huo wakristu walikuwa milioni 20. Leo , leo nchi hiyo hiyo ina waislam 100, na wakristo milioni 19. Ni kweli waislam wameongezeka, lakini ongezeko lao ni neglible. Wakristo wamepungua lakini bado ni wengi sana.
Kiuhalisia, hakuna wazungu wanaoslimu, ikitokea ni kwa nadra sana, na wengine hufanya hivyo kwa sababu za kiusalama ili waweze kuingia nchi za kiislam kiurahisi kwenda kufanya upelelezi. Lakini kwa ujumla, ongezeko hilo dogo la waidlam kwa Ulaya linaletwa na kuzaliana sana kwa waarabu wakiwa huko ugenini.
Soma hapa chini utaelewa vizuri zaidi:
As of 2025, the Muslim population in Europe is estimated at around 46 million, representing approximately 6% of the continent’s total population. Driven by migration and higher fertility rates (2.6 children per woman vs. 1.6 for non-Muslims), this population has grown from 4.9% in 2016.
Wakristo:
As of roughly 2020, Christians comprised about 67% of Europe's population, totaling over 500 million people, though numbers have been steadily declining alongside rising unaffiliated populations. The region remains predominantly Christian, split between Catholic, Orthodox, and Protestant denominations, despite significant secularization in Western Europe.
Kwa Marekani, China, Nepal, Iran, Indonesia, India na nchi nyingi za Afrika na Amerika Kusini, idadi ya wakristo inazidi kuongezeka:
Mungu fundi Sana kuiweka USA kuwa nchi kubwa duniani.Ninyi kobazi bila kudhibitiwa hii dunia tungesha silimishwa wote.
Acha Marekani🇺🇲 aendelee kutawala dunia tu.
Hebu vuta picha, Iran🇮🇷 ndio angekuwa super power wa dunia?
Watu wange silimishwa, by fire by force. 😂
Nchi yoyote ambayo ingegoma kusilimu, ingepigwa vikwazo vya kiuchumi.
Watu wangepigwa mabomu kabisa.
Sasa hivi hapa JF tungekuwa tunajadiliana kwa kiarabu.
Marekani siyo dini , dini gani inaitwa marekani?Kukua watakua.
Ila sio kuwa super power.
Super power atabaki Marekani.
Hakuna atakaye leta nywinywi.
Akili na kobazi ni kama maji na mafuta.Kobazi hawana akili ,halafu waislamu wanazaana sana ,pia wao hata mtoto mchanga wanamuhesabu ni muislamu
Kwenye Ukristo hasa uprotestant wanahesabu wale watu wazima tu waliobatizwa
Wangehesabu na watoto je ?
Ulaya hiyo wanayosema Ina waislamu wengi kwasasa ,ni 6% tu