Pajengwe Misikiti kila Stesheni ya SGR

Uislamu umejitosheleza sana kwenye Uislamu kuna Sala ya msafiri hata mtu akikaa kwenye siti yake tu anaswali vizuri tu bila ya usumbufu wowote ule ilihali yupo stara na tohara
Yes niliwahi kutana na jamaa natoka Dodoma-Mbeya
Jamaa alikuwa humble sana.Alinifundisha ulichoandika,..
Jamaa alituomba kwa ustarabu sana samahani jamani naweza swali kidogo na alifanya hivyo.
Sasa tuna sisi wajuaji wa Dini.
 
Uislamu umejitosheleza sana kwenye Uislamu kuna Sala ya msafiri hata mtu akikaa kwenye siti yake tu anaswali vizuri tu bila ya usumbufu wowote ule ilihali yupo stara na tohara
Hata ukitoka Dar kuelekea Moro:
Utakuwa imeiacha Kibra kisogoni sasa
 
Nyinyi ndo mmejenga msikiti Coco beach.
Yaani mna matatizo
Sijui nani aliruhusu ule upimbi kujenga Msikiti public area stupid kabisa wakatoliki wakitaka jenga kanisa je?
Wasabato,wahindu temple,wabudha na wapagani wapande mbuyu wataruhusiwa hawa jamaa wanapenda kujifanya wao special sana!
 
Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
Na madereva wawe waislam, muda wa swala ukifika wanasimama tunaswali.
Tukimakiza la misikiti kwenye sgr tunaenda kwenye mabasi ya masafa marefu kila stand serikali ijenge msikiti na lazima mabasi kusimama wakati wa swala.
 
Yapi merkez wanajenga misikiti vijijini huko, wakitutumia pesa zetu. Serikali iwakataze .

Badala yake Wanatakiwa watoe misaada ambayo ni inclusive, kila mwanachi ananufaika.
 
Nyie ndo mnafanya uislamu ionekane ni dini ya wawendawazimu
 
Sijui nani aliruhusu ule upimbi kujenga Msikiti public area stupid kabisa wakatoliki wakitaka jenga kanisa je?
Wasabato,wahindu temple,wabudha na wapagani wapande mbuyu wataruhusiwa hawa jamaa wanapenda kujifanya wao special sana!
Kwa taarifa ni kwamba Tanzania imeshajiunga na world Islamic organization, ndio maana unaona misikiti inajengwa Nchi nzima mpaka kwenye maeneo ya wazi na yaliyokuwa maeneo ya serikali na Ndio maana majengo ya misikiti yanafanana.

Yule captain toure alikataa msaada wa kujengewa misikiti 200 na Saudi Arabia, akitaka wananchi wapatiwe maendeleo ya kweli. Ila serikali ya TZ imekubali , Kuna viongozi wachache sana wananufaika na hii issues
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…