Car4Sale Pajero GDI inauzwa

Car4Sale Pajero GDI inauzwa

Mdadamwema.

Senior Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
156
Reaction score
173
Salaam wakuu,
Nauza gari aina ya Pajero GDI.
Ya mwaka 2002.
Rangi ni nyeusi.
Namba B.
Cc 1500.
Bei 5 million.
Gari ni yangu mimi mwenyewe na haina tatizo lolote.
Karibuni.

IMG_20220512_091501_604.jpg
IMG_20220512_095003_327.jpg
IMG_20220512_093948_216.jpg
IMG_20220512_094647_079.jpg
 
ina tatizo gani?
Plate number ??
picha huna zingine?

Hili gari lako au we dalali?

mbna hauandiki tangazo kwa ueledi
 
Lizima kweli???
Au limechoka sana number plate A au TZ
 
Back
Top Bottom