Mdadamwema.
Senior Member
- Aug 7, 2014
- 156
- 173
Namba gani?Salaam wakuu
Nauza gari aina ya Pajero GDI.
Ya mwaka 2002.
Rangi ni nyeusi.
Cc 1500.
Bei 5 million.
Karibuni.
Ni namba B mkuuNamba gani?
Gari haina shida yeyote mkuu, ni yangu mimi mwenyewe na ni namba B.ina tatizo gani?
Plate number ??
picha huna zingine?
Hili gari lako au we dalali?
mbna hauandiki tangazo kwa ueledi
Ni nzima kuliko unavyofikiria tena imara hasaaaLizima kweli???
Au limechoka sana number plate A au TZ
Sasa kwa nini unaficha hizo namba?Gari haina shida yeyote mkuu, ni yangu mimi mwenyewe na ni namba B.
Nimeweka wazi hapo juu,ni namba BSasa kwa nini unaficha hizo namba?