Mkuu unauzoefu na hizi gari?Hatari Sana, Mitsubishi mafundi watakusumbua sana
Spea nazo ghali ajabuHatari Sana, Mitsubishi mafundi watakusumbua sana
Hiyo utakufa nayo mzee
Hatari Sana, Mitsubishi mafundi watakusumbua sana
Hamna kitu MITSUBISHI labda ingekuwa FUSOKuna wanaozipgopa hizi vitu, nadhani wakilinganisha na TOYOTA....zaidi ni ufundi na upatikanaji wa spare.
Ila wanaozikubali watakwambia spare ni shida/aghali ila 'ukiweka umeweka'