Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei yake mkuuNi mashine kali. Ina 4 wheel drive nzuri kuliko rav 4. Kama 2.0 L engine tegemea kutumia 30000 kwa wiki nyumbn kazini kwa dar. Kuna zingine 1.8 L itatumia mafuta kidogo chini ya hapo.
Ukiitunza vizuri usiwe mtu wa makeke itakusaidia sana. Spea zake ni ghali kuliko toyota.
Yangu nimesafiri nayo dar-tanga na kurudi siku hiyo na dar mwanza na kurudi haijanletea matatizo kabisa.
Pia ni nzuri kwa kukaa watu wawili mbele, wa katikati labda wawe watoto au watu wafupi sana manake viti vya katikati vinabana hakuna nafasi kubwa. Gari yangu nimefanya modification kuzogeza kiti nyuma kidogo ili nafasi ya kati ipatikane.
Petroli uweke station zinazoaminika kama gapco puma total. Mafuta yanayochanganywa yanaharibu gari ukumbuke gari hii sensitive.
Conclusion: gari nzuri kama zingine ina nguvu zaidi 4wd. Spea ghali na inahitaji matunzo mazuri
$3000-3500 CIF dar. Check with tradecarviewBei yake mkuu