Paka anaezagaa mitandaoni, tupia kituko chake ulichokutana nacho

Paka anaezagaa mitandaoni, tupia kituko chake ulichokutana nacho

Pununkila

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
689
Reaction score
1,706
Wakulungwa huyu paka amekuwa maarufu Sana MITANDAONI kiasi kwamba siku haiwezi kuisha bila kukutana naye.

Kama umekutana nae huyu msela paka, TUPIA picha yake tuone ni maswaibu gani yanayomkuta.

FB_IMG_16349130637725326.jpg
FB_IMG_16349128630738765.jpg
FB_IMG_16349128538002010.jpg
FB_IMG_16349128719719865.jpg
 
Paka ananiacha hoi, kama Kariakoo huibiwi, kituo cha polisi unakitafutia nini? Umeshaingizwa mjini na maujanja yako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom