Paka muuza samaki!!!!

Huyo paka hajatulia kabisaaaaaa
 
KUKU ZA UCHUMI ndiyo kuku za aina gani hizo? Mie sijasisikia ati.
 
KUKU ZA UCHUMI ndiyo kuku za aina gani hizo? Mie sijasisikia ati.
asante mkuu
kiibodi yangu ina matege kidogo lakini sidhani kama na ya kwako iko salama, maana hapo kwenye red
kidogo pamenizingua sana sijajua panaeleza kitu gani, hata hivyo siyo mbaya, kwangu nimerekebisha
 
Wakwetu huku ni njaa kali utakuta wamemaliza samaki wote,wenzetu wanafuga kwa mpango na malengo sisi huku ili mradi tu kuna paka ndani basi
hapa nahisi hata viongozi wa serikali wamewaiga hawa siyo?
 
tatizo paka wa kwetu wengi TUNADHANI ni WACHAWI na sio paka wanyama wa kawaida kwa iyo akiuuza samaki watu wanaweza wasinunue kwa kuogopa kula samaki wa mchawi
mix with yours
 
Saaaaaaaana!!!!!!!Tena viongozi wetu ni kama mapaka shume ambayo hata mboga yanafunua mfuniko na kula kilichomo

Duh hii kali! Yaani hata kama sufuria ya moto vipi yanafunua tena bia ya kuungua!!!
 
Hahahahaaaa, nimetoa ile ya "nyani haoni kalio lake siyo?" Duuu, hii kali. Anyway ilikuwa katika kufurahisha ukumbi.
Asante kwa picha na habari anyway.

MSISAHAU KUJIANDIKISHA NA KUMPIGIA KURA DR. SLAA.
asante mkuu
kiibodi yangu ina matege kidogo lakini sidhani kama na ya kwako iko salama, maana hapo kwenye red
kidogo pamenizingua sana sijajua panaeleza kitu gani, hata hivyo siyo mbaya, kwangu nimerekebisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…