Tareeq
JF-Expert Member
- May 3, 2010
- 828
- 408
Nimepambana Na hali yangu lakini sisadiki kwa. bkaribu week. Hadi mwezi Na nusu nimekuwepo katika maeneo. Ya Kagera lakini nastaajabishwa Na kutokumuona paka hapa Bukoba Na Haya MULEBA paka Hawa wameenda wapi , hawasikiki wala kuonekana ISIJEKUWA NI CHAMBO. kuvulia Dagaa Na samakibitakuwaje miji ikose kusikia nyaaauu nyauu nyaaun hapo nisaidieni