Paka

Paka

MEMKWA

Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
77
Reaction score
28
Jamani ndugu zangu nisaidieni.Paka amenikwangua kwa kutumia kucha zake damu imevuja sana sielewi nifanye nini maana nmewai kusikia kwamba Paka Ana sumu
 
Mlikuwa mnaulizana nini mkuu? Anyway pole kwa maumivu. Ningekushauri uende spitali.
 
Paka hana sumu kwenye kucha....Porojo hizo, kama majeraha makubwa nenda hospitali
 
Kuna kitu kibaya umemfanya, maana paka hadi akukwangue na kucha ni ishu, mbona mi namkanyaga sana kwa bahati mbaya na hajawahi nikwangua, anyway pole na nenda hospital.
 
Safisha kidonda kwa Hydrogen Peroxide (dihydrogen dioxide) kama huna tumia Dettol. Then paka kwa wingi tu streptocide powder. But this is street talks. Do it the right way brother, GO SEE A DOCTOR.....[h=1][/h]
 
Asanteni sana ndugu zangu kwa ushaur wenu,nimefanya hiyo huduma ya kwanza. Kesho asubuhi naenda kumuona Doctor
 
Ama niende sasa hivi nkichelewa tatizo c linaweza kuwa kubwa?ila jeraha ni moja tu alafu dogo tu kucha moja ndo imenichana.
 
Safisha kidonda kwa Hydrogen Peroxide (dihydrogen dioxide) kama huna tumia Dettol. Then paka kwa wingi tu streptocide powder. But this is street talks. Do it the right way brother, GO SEE A DOCTOR.....[h=1][/h]

Shukrani
 
utapata kansa mbaya sana na kichaa cha paka kinakunyemelea, unakanyagana na mapaka unaishi tandale nini?
 
utapata kansa mbaya sana na kichaa cha paka kinakunyemelea, unakanyagana na mapaka unaishi tandale nini?

Unaniogopesha bro!niko sijielew hapa asee ,mm naishi ubungo plaza
 
Ndyo nmeenda hospital Leo asubuhi na nmepatiwa huduma,nawashukuru sana kwa ushauri wenu Mungu awabariki
 
Back
Top Bottom