Pakacha la kumtowa mtu kijasho !

Upuuzi mtupu wa kumdhalilisha mwanamke, kitu hichhi sipendi ndio inazidi fundisha ufuska.
 
mambo ya mujini hayo


kwa kweli ndugu hujafanya uamuzi wa busara kuweka bandiko la kidhalilishaji hapa mbele.
Naomba tu uombe radhi na usirudie tena kubandika mabandiko yenye namna yeyote ya udhalilishaji.
 
Pakacha la kumtowa mtu kijasho

Mbona hueleweki?
pakacha=mtu? au pakacha=makalio?
Think twice!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…