Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
safi....sasa waambie hivo wenzako kama Geza..Lengo la kuzuia bidhaa zenu ni kuwa tunataka kuuza bidhaa zetu wenyewe, na sio kwamba ninyi mkose soko huko kwenye nchi nyingine!
Nyie uzeni tu hadi North Korea na Afghanistan!
Kuna siku Geza kawazuia kuuza bidhaa zenu nchi nchinyine tofaut na tz?safi....sasa waambie hivo wenzako kama Geza..
la ila ni yeye huwa haelewi chochote kuhusu ban za tanzania...huwa anakurupuka kila uchao...kwa ufahamu wake, ban hizi ni za kulipiza kisasi...yaani tit for tat...haelewi kuwa pia kuna sababu za kibiashara kama kukuza viwanda vya ndani...haelewi kuwa Kenya inaweza ikapata soko nchi zingine na isitoshe tanzania sio mwisho wa duniaKuna siku Geza kawazuia kuuza bidhaa zenu nchi nchinyine tofaut na tz?
Najua atapita hapa, ngoja aje[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]la ila ni yeye huwa haelewi chochote kuhusu ban za tanzania...huwa anakurupuka kila uchao...kwa ufahamu wake, ban hizi ni za kulipiza kisasi...yaani tit for tat...haelewi kuwa pia kuna sababu za kibiashara kama kukuza viwanda vya ndani...haelewi kuwa Kenya inaweza ikapata soko nchi zingine na isitoshe tanzania sio mwisho wa dunia
Wanjala give me more info on this I have no idea that Seychelles was part of Kenya then if we have a petition museveni will claim Kenyan riftvalley,western and nyanza regions
sent from iPhone 7
Story ya Seychelles cjawai skia man....ilikua first time janaAcha kuniangusha Colloh, kwani huna form? Seychelles was part of Kenya. museveni's allegations are mere empty rhetoric with nothing meaningful in it.Anasema at map ya 1924 western Kenya was part of Uganda nasi tuamwambia kaisome map ya 1902 na ile story ya Devonshire white paper of 1902 atajua ukueli, juzi akasema migingo ni Uganda tena aka propose tufanye usoveria tulipoanza akagundua kua huge part of Uganda iko Kenya alijam akasema hataki that process at Kenya wamefake map kumnyang'anya nchi yake na ziwa ,,so huyu jamaa achana naye he is just a busy body.