Pakistan: Mjamzito agongelewa Msumari kichwani na Mganga wa Kienyeji ili ajifungue Mtoto wa Kiume

Pakistan: Mjamzito agongelewa Msumari kichwani na Mganga wa Kienyeji ili ajifungue Mtoto wa Kiume

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
1644490277230.png

Msako unaendelea nchini Pakistani kumtafuta mganga wa kienyeji anayedaiwa kushindilia msumari kwenye kichwa cha mwanamke mjamzito. Mwanamke huyo alifika katika hospitali ya Peshawar baada ya kujaribu kuchomoa msumari wa 5cm (inchi mbili) kichwani kwake.

Awali, aliwaambia madaktari kuwa alitekeleza kitendo hicho yeye mwenyewe, lakini baadaye alikiri mganga mmoja ambaye alidai kuwa amemuhakikishia kujifungua mtoto wa kiume alihusika. Polisi walianza kuchunguza baada ya picha za x-ray za jeraha kuonekana mtandaoni.
===

The woman thought that if she hammered the nail to her head, she could birth a son instead of the girl she was pregnant with. Authorities learned of the incident after it went viral on social media.

A so-called faith healer in the Pakistani city of Peshawar is being sought Wednesday by authorities, after advising a pregnant woman to hammer a nail on her forehead so that she could deliver a baby boy.

Neurologist Haider Suleman, who treated the victim at Lady Reading Hospital, said although the nail had penetrated the woman's skull, it had not reached her brain.

"She said that a woman in her locality did the same [hammered a nail] and gave birth to a boy even though the ultrasound had shown her unborn child to be a girl," Suleman told Pakistani news outlet Dawn.

Faith healers are a common avenue in Pakistan for people seeking spiritual solutions to their problems. Most of these healers are Islamic clerics and other religious people.

The incident came to the attention of authorities after the victim's x-ray went viral. Police examined the content to work through the case.

"The team will also investigate why [the] incident was not reported to [the] police by the treating doctor," local police chief Abbas Ahsan said.


DW News
 
Huo msumari ukichomolewa akili itabaki salama kweli?
 
Hii dhana ya kupata family heir inatesa wengi na ajabu ni kuwa watoto wa kike ndiyo huwa msaada mkubwa kwa familia.
Na hio ni presha ya Mwanaume tu,kwamba safari hii usipozaa wa kiume nakuacha,mama wa watu akaona ajisalimishe kwa Sangoma,kuvumilia hayo maumivu sio mchezo ujue kuna machungu ameyapitia kwenye ndoa.
 
Ila bongo hatari sana,,,,ebu fikiria pakistani na hayo mambo wapi na wapi mzehe, au atakuwa amejifunzia bongo huo unyambafu.


Acheni kumshirikisha Mwenyezi Mungu
 
Hii dhana ya kupata family heir inatesa wengi na ajabu ni kuwa watoto wa kike ndiyo huwa msaada mkubwa kwa familia.
Hakika, sisi wanaume, tunahonga wanawake tunaacha kuwapa wazazi wetu...

Watoto wa kike wanahongwa na sisi wanaume wanapeleka kwa wazazi wao...
 
Back
Top Bottom