Pakistan: Watu takriban 1,033 wafariki kwa mafuriko, 1,527 wajeruhiwa

Pakistan: Watu takriban 1,033 wafariki kwa mafuriko, 1,527 wajeruhiwa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mvua kubwa na mafuriko yamesababisha vifo vya takriban watu 1,033, wakiwemo watoto 348, na wengine 1,527 kujeruhiwa huku jumla ya watu milioni 33 wakiathiriwa na janga hilo tangu katikati ya mwezi Juni

Mamlaka ya Kitaifa ya Kukabiliana na Majanga nchini humo (NDMA) imeongeza kuwa watu 119 wamefariki na 71 kujeruhiwa katika muda wa saa 24 pekee zilizopita

Pakistan inapitia msimu wa nane wa mvua za masika wakati kwa kawaida nchi hiyo ina mizunguko mitatu hadi minne ya mvua hizo

....................................

Severe rains and flooding have killed at least 1,033 people, including 348 children, and left 1,527 more injured in Pakistan since mid-June, officials said on Sunday. The country's National Disaster Management Authority (NDMA) added that 119 people had died and 71 injured in the last 24 hours alone.

At least 33 million people have been affected by the disaster, Pakistan's Minister for Climate Change Sherry Rehman said on Thursday. She called the floods "unprecedented" and "the worst humanitarian disaster of this decade."

"Pakistan is going through its eighth cycle of monsoon while normally the country has only three to four cycles of rain," Rehman said. "The percentages of super flood torrents are shocking." The exact number of troops as well as where and when they would be deployed would be worked out between the provinces and the government, the ministry said.

Meanwhile, flood relief centers are being established in various parts of the country to assist collection, transportation and distribution of flood relief goods to victims, the Pakistan Armed Forces said.

SOURCE: Citizen Digital
 
Back
Top Bottom