Pakistani: Mlipuko wa bomu waua watu 6 na kujeruhi 13 katika hadhara ya Wapalestina

Rahma Salum

Member
Joined
Sep 7, 2020
Posts
30
Reaction score
59
Mlipuko wa bomu uliotokea Mei 21, 2021 katika mkutano wa hadhara wa Wapalestina Magharibi mwa Pakistani umeua watu 6 na kujeruhi 3 akiwemo kiongozi wa chama cha kidini chenye msimamo mkali.

Bomu la pikipiki lililipuka wakati watu wakitawanyika mwishoni mwa mkutano uliofanyika katika Jiji la Chaman karibu na mpaka wa Afghanistan katika Mkoa wa Balochistan

Bomu hilo limemdhuru pia Maula Abdul Qadir Luni Kiongozi wa chama cha kidini ambaye ana historia ya kusaidia wapiganaji wa Afghanistan wa Taliban

Polisi wamesema hakuna dai la moja kwa moja la wawajibikaji.

Chanzo: Reuters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…