Pale Azam TV inapotumika kumshambulia Mo Dewji na METL

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Leo Haji Manara kamshukia sana Mo Dewji akimtuhumu kuuonea wivu ubalozi wake aliopewa na Azam company. Siwezi sema ni ukweli au uongo ila nilichosikitika ni azam tv kurusha tukio hilo wakiwa na maslahi na huyo Manara

Ni wazi kuwa walifanya hiko kitendo makusudi kibiashara kumu attack Mo Dewji, Simba sc, METL kupitia Haji Manara
 
mimi nimengalia hiyo press kupitia global tv, na kulikua na online tv nyingi tu wanaonesha.
badala mumlaumu manara mnalaumu azam
 
Kwahiyo media zote hata za online zilizo onyesha live nazo zilitumika pia?


Si kila siku watu hua wanalilia uhuru wa vyombo vya habari? Sasa huo ndio uhuru wenyewe.
Mfano watu waliofukuzwa kazi serikalini wanaweza kutumia uhuru huo?
 
Ule msemo wa baniani mbaya kiatu cha dawa. Naona dawa imepatikana
 
Mnaosema wengine walirusha tukio live kwani manara ni balozi wao?manara kahusisha kufukuzwa kwake simba kwa sababu anatangaza bidhaa za azam kama juice,azam tv ni kubwq kuliko hizo online tv unadhani wenye simu vitochi waliaangalizia wapi hayo matusi kwa kampuni ya metl?
Ila azam hapa mmepata mtoa matusi juisi zenu zitapambwa kwelikweli kipaza sauti chenu cha kumtukana mo na bidhaa zake kinaweza hayo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…