Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

Hili andiko ni reality ya maisha Kwa mwanamke na mwanaume kwenye mahusiano, ata mm nilipoteza pisi Kali za maana, zilitak nizioe kipind mbichi, nilikua nawapotezea tu muda ila now Nina wife mcharuko ila napambana aisee😄
 
Ukweli mtupu, kuna uzi wa Zemanda nilitukanwa na Wadada wawili aisee
 
Afisa Utamu mstaafu😂😂😂🤗
 
Hili ni andiko bora sana ambalo halijabagua upande so both they can learn.
 
Msiwanange sana hao mademu.

Nahisi, kuzaliwa mwanamke tu tayari mchezo unasoma 1 - 0.

Imagine, unalivumilia lijamaa for 4 good years, linakuja kuoa mtu mwingine kabisa walio kutana mwaka mmoja ulio pita 😄

Hyo trauma unazani atakua sawa?

Ushauri ukiwq mtoto wa kike, above 24 years, kama hujaochumbiwa, Huna pete wala hautambuliki ukweni wewe upo single, Endelea kutoa no. na kujibu SMS mpaka pale kijana mwenye kiherehere atie nanga nyumbani.

Otherwise majuto ni mjukuuu
 
Anarudishia UKE uliolegea ukaze.. uchakazwe tena aukaze tena.. mwendo huo huo..
 
her past does not matter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…