Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

🤣🤣🤣 kikatili sana mkuu ila umenyoosha zaid ya rula mau meng inakuangukia 💐💐💐💐💐
 
Mi basi ni tatizo, nimeanza kuwa feminist nikiwa almost 17-21 hadi leo. 😂😂😂

Kuonesha niko serious na hili jambo, nimefanya courses kibao za feminism na gender issues.

Anyways, nitaolewa na bado nitakuwa na audacity ya kuwaambia mabinti wadogo “Ndoa si fanikio la pekee” in fact inaweza isiwe fanikio vilevile, Tuelewane, ndoa si mbaya, ndoa na mtu sahihi ndio kitu kizuri. tuweke mkazo kwenye usahihi wa watu. Msiwe kama CCM kutwa kujadili amani bila kutaja neno haki.

Sisi ndio feminists, Y”all better get used to us. 🥂
 
Utaolewa na ma "SIMP" na si wale munaowataka ninyi tena,yaani toka miaka 17 hadi 31 utomb.we,iwe rahisi tu mwanaume anajielewa akuweke ndani?
 
Anita Makirita njoo huku mwamba kaliamsha tena, sijui wanawake mmekosea nn. Kwa hali hii mpaka mseme. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Uzi mrefu,una ukweli 99%...
 
Siajua why age hii ya mabinti 15-20 huwaga wagumu sana kuelewa. Wengi wao hapa ndipo huanza kupotea.
 
Feminisim

Feminist

Feminisim - ni kuwa empower wanawake kiuchumi, kijamii na kisiasa.


Feminist -ni MTU anayefanya hiyo kazi ya Ku-raise awareness kwa mtoto wa kike in positive way .



Sasa linapokuja swala la kuolewa kwa binti au mwanamke huwa nashangaa MTU anayepinga ndoa na yeye kujiita feminist.


Kuna Dada yangu she is well of Ila alifanya makosa katika kuwa na familia na kuona kuwa anajiweza mainly financially

Unfortunately alipata mtoto mmoja wa kike na huyo mtoto yupo age 20s she drunkard , smoker. Anamsumbua Sana

Furaha yake kaamua kuolewa na MTU mmoja ambaye ni financial broke akiwa na umri 44 yrs


So

Kazi
Mahusiano
Familia

Ni mambo muhimu Sana katika MAISHA hawa feminist wa kibongo hawapo civilized enough kutoa muongozo kwa mabinti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…