Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

Kweli lakini wafanye wanavyoona wao inafaa.....kama ni majuto kila mtu atabeba mzigo wake.
 
Such a fabulous, drastic and brilliant thread amongst.
Mkuu umetisha sana umezungumza uhalisia ambao huwenda wahusika wengi wakaupinga ama ukawachoma maana ni ukweli mtupu.
Na hii iandikwe kama katiba wanaume haswa vijana watambue kama alivyosema mheshimiwa Mswahilimnoo .
 
Yaani mi ndio hua sipendi kabisa kupangia au kujifanya mshauri kwa wanadamu wenzangu namna ya kuishi

Kila mtu ana maamuzi yake,akiamua kuolewa,kuoa au kutokuoa its on them

Siwezi geuka lecturer wa ku-lecture wanadamu jinsi ya kuoa au kuolewa na eti usipoolewa au kuoa kuna adhabu utapata

Kila kitu ni adhabu,kuoa au kutokuoa nia adhabu either way,pick your poison!

Ila siwezi geuka higher priest wa kulecture wanadamu wenzangu eti as if mimi ndio moral giver!

Oa au olewa au usioe,kote kote ni jehanamu tupu,who gives a fvck!
 
Hiki ndicho kilimfanya Jadda ajiunge JF kupata mume wa kumuoa baada ya kuchezewa sana
anabaki kulia kwa uchungu kwani kila mahusiano anaishia kuchezewa mwili na hisia. Umri nao unasonga urembo unapotea kwa kasi



Ikashindikana kwa sasa hivi yuko humu kwenye ufeminism
 
Hata kama ameoshwa Kwa damu ya Yesu?
Hata kama ameoshwa Kwa damu ya Yesu?😄
 
MIAKA 12-16: Anapoteza bikra kwa secondary boys au primary boys, hapo ndipo anaanza rasmi safari ya maisha ya kubadili wanaume

MIAKA 17-20: Hapa ndipo anapojiona kuwa dunia yote yake kwanza anavutia. Anaanza kuwapotezea boys wa rika lake kwa sababu ya vijizawadi vya hapa na pale kutoka kwa wanaume wenye umri mkubwa.

Huu umri una vituko sana anaanza kuweka standards za wanaume wa kumuoa awe na gari, kazi nzuri, handsome tall, black, white na mazagazaga kibao. Acha tuone atatimiza ndoto zake?

UMRI 21-23: Bado yuko kwenye peak ya urembo, anaanza kuuza sura anajiunga TikTok, snapchat, insta anaaanza kuweka pics na vids akionyesha tako, shape, kifua, kiulimi nje huku akinengua.

UMRI 24-25: Wanaume wenye nia naye wanajitokeza ili wafanya naye maisha unaweza kuwaita potential suitors, anawakataa kwa sababu anataka uhuru, kuishi night life na part life na bado yuko kwenye hesabu kali kwani analinganisha vipato vya wanaume anaotoka nao.

MIAKA 26-27: Anaanza kuona marafiki zake wa kike wakiolewa. Wazazi wanaanza kumuuliza kwa nini mpaka leo hajamleta mwanaume nyumbani.

Akili inamrudi anaanza kuwatext na kuwacall marafiki zake wa zamani wa kiume, ma-EX na wanaume aliowakataa alipokuwa kwenye ubora wake. Anagundua wengine wameoa, au wako kwenye serious relationships na mabinti wabichi na wazuri kuliko yeye.

Hapa anawalenga hasa wale aliowajua SIMPS ili awahadae wajichanganye wafanye naye maisha.

Katika umri huu kuna mawili APATE au APATWE. Wanaume wanajifanya kama wako serious naye na commitment fake anajikuta anaishia kupigwa hit and run.

Dunia inakuwa chungu kwake anabaki kulia kwa uchungu kwani kila mahusiano anaishia kuchezewa mwili na hisia. Umri nao unasonga urembo unapotea kwa kasi.

UMRI 28-30: Huyooo mbio kwa Mwamposa na manabii, wengine kwa waganga wengine sehemu zote mbili. Huku anategemea atapata mpendwa katika bwana wa kufanya naye maisha. Loooh!! Anagundua hata wainjilisti nao wahuni wanapiga wanasepa.

MIAKA 31-33: Anaanza kuwa feminist na kujaribu kuwaharibu mabinti wadogo kwa ushauri wa kijinga. Anakuwa active sana kwenye mitandao ya kijamii kusema ndoa sio mafanikio, wanaume wote ni mbwa, wanaume matapeli, mara 50-50 lengo tu awaharibu mabinti. Mara nyingi ndani huwa hakosi dildo ya 15cm.

Katika awamu hii ya maisha yake, anakumbuka maisha yake ya zamani na kugundua kuwa aliishi maisha yasiyo na maana.

NB: Katika umri wa miaka 21-30 hapo wengine huzalishwa na kufanywa single moms, akishabikiriwa safari ya maisha umalaya inaanza na kuanzia 30s ideas za ufeminist zinaanza.

SOMO KWA WANAUME
Usikubali mwanamke yoyote mwenye umri mkubwa unayekutana popote iwe kanisani akufanye her retirement plan akikwambia dont judge my past ndugu yangu huyo anajificha tu kwenye kivuli cha kanisa ni afisa utamu mstaafu.
Usikubali kufanya maisha na mwanamke ambaye alikupotezea kipindi yuko kwenye ubora wake halafu anaanza kujipendekeza kwako dakika za jioni. Ikiwezekana hit her and run.
Usikubali kufanya maisha na single moms na feminists kwani walishautumia vibaya ubinti wao
Learn or perish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…