Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

Yohana usiogope, kwa wakati huu watapatikana tu. Woga waliokuwa nao wakati ule kwa sasa umepungua. Enzi zile wale wa darasa la saba badala ya kujenga hoja waliishia kumkashifu na kumkejeli CAG.
 
Wapo mkuu kina Mwana FA,Babu Tale,Lusinde maana ndio Awamu yenu iliona wanafaa kwa ajili ya kulisaidia TAIFA.
 
Babu Tale na Kinanasi
 
Sasa imagine wale wasanii wote waliotia nia wangepita ingekuwaje si ndiyo wataanza kuulizana CAG ina kazi gani jamani😆😆
 
Ndugu johnthebaptist soma Zaburi 1:1 - 6.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Ubarikiwe kwa kuwa mkweli.
 
Tangu mangi ninaekufahamu leo umeandika kwa kifupi,ukweli,na kueleweka.Yaani km binadamu mwenye ufahamu.Sijui hizi fahamu umetoa wapi leo.

Pengine yule roho amekuvuvia.hongera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…