Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

Huenda leo kwa mara ya kwanza nimekusoma, kukuelewa na kukubali kwa 100%. Kumbe ukiweka itikadi za CCM pembeni akili inafunguka fresh.
 
Wanaweza kuchambia hiyo ripoti wakiwa nje ya uwanja na sisi tukafuatilia hivyohivyo!
 
Alaf Mbona Babu Tale anakua mfano kwenye mambo mengi ya msingi yahusuyo bunge?😂😂😂 Kama jimboni kwake wapo watu wa design yake mlitakaje?😂😂😂

Anyway This time anaweza toa hoja moja amazing na hamtaamin masikioni mwenu😂😂😂
 
waliyataka wenyewe wafiche maovu ya mzee mkubwa ila wenye macho na akili wamepata picha kwamba upigaji ulikuwa mwingi sana enzi za meko na genge lake
 
ahahaa anachojua ni kukusanya tu siyo
 
Unatuletea majina ya waliotuchelewesha?
 
Kuna haja ya ku-revise vigezo vya kuwa mbunge. Vilivyopo havijitoshelezi

Mfano: Sasa hivi TAMISEMI kuna ubadhilifu wa Fedha za Uma, ATCL inakula hasara 5 Years consecutively, TPA kuna uchafu, Rushwa imetamalaki then CAG anapeleka report bungeni kujadiliwa na mtu alieishia darasa la 7. Seriously?

Kuna wabunge wao wanasubiri tuu siku aanze kutaka Raisi aongezewe muda, wengine kutoa shukrani na sifa kwa mandege yamenunuliwa while at the back hawaelewi report inasema nini kwenye vitu wanavyosifia.

Dah😥
 
Zito ameshasema anaichambua alafu soon atatarifu umma
 
Hii ni ww mkuu au umedukuliwa??
Anyway kuna akina
Chawa wa Magu-babu Tale
Mwana FA
Msukuma na
Kibajaji wanafaa kabisa.


Ila kuna covid 19 ajina
Mdee
Bulaya
Wanaweza kidogo kuokoa jahazi
 
Mbona tupo wengi tuuuu. Subiria uonee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…