Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

leo umeandika sense
 
hahaha babu tale
 
Yuko mbunge hakumaliza hata saba C, kusoma kama mtoto chekechea
 
Bwashee tunao kina Mdee, Matiko, Bulaya nk watatuwakilisha vizuri tu.
Lisu atachambua ya EU!
 
Aaa,wapi.Wapo magwiji kama Kibajaji,msukule a.k.a Msukuma,Kishimba (mzee wa chuo cha wezi na bangi) chini ya kamanda kifutu ndugai ! Shoo itanogaje????!!!!!
 
Kumbe kuna muda ukismokigi Embassy tu unakuaga poa huna upuuzi ule wa Lumumba...

Lile jani la chakula cha koboko linakuharibu mkuu, Ni vyema uachane nalo utumie hii hii ya leo...
Hahahaaaa........!
 
Mkuu kwa hiyo Marehemu alituingiza chaka[emoji16]...

Mende zimeanza kutoka kabatini..


Ila usijali pole pole yupo atatusaidia,kuichambua kama ilivyokua kwenye ile 1.5trilioni
 
Wapo kibao labda huwajui tu
  1. Jah
  2. Msukuma
  3. Lusinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…