Pale Gerezani Mukamira Rwanda wapo kila raia kutoka nchi zote A.Mashariki, hasa wakosoaji wakuu wa utawala na utalazimishwa kukiri kosa au kuuawa

Umeandika maneno magumu sana
 
Ndugu yangu ukiamua kuweka mambo weka kabisa hata kurasa kibao... Ikisema itaendelea kwenye vitu kama hivi.. Huwezi ijua kesho yako ... File zenye secrets huwa hazitoki vipandevipande ndugu Britannica
Ukiona hivyo ujue kafos king....
 
Mpuuzi
 
Ni kweli kabisa mkuu ,Unadhani zile maiti zilizokuwa zinaokotwa Coco beach zikielea na zile za Ruvu unaungana na Musiba kuwa zilielea kutoka Somalia hadi Tanzania?
Kwenye hilo kwakweli sijui,ila lile la maiti kwenye viroba kwenye Mto Ruvu lilikuwa haliingii Akilini.

Ila kama ni Baharini inawezekana kwasababu nakumbuka kuna Maiti za Wakimbizi wa Kisomali ziliwahi kuokotwa kwenye Pwani ya Msumbiji baada ya Chombo chao kuzama
 
Huyo jamaa anajifanyaga kwamba ni mlinzi wa Rwanda....... anadhani Rwanda ndio kila kitu.... Siku ukipitia kitabu cha isaya... 18.. Ndio utajua kwann Tanzania inaitwa watu walaini wenye nguvu... Watu warefu wenye nguvu Tangu mwanzo.. wapelekao wajumbe wake kwa kasi kwa njia ya bahari... Watu ambao mito mikubwa hupita katikati ya nchi yao.... Ambao hupandisha bendera juu ya milima mirefu na kupiga tarumbeta....

Utajiuliza kwann bill Clinton alikaa Tanzania, Utajiuliza kwann Vladimir Putin.. Alikuja kutoa mafunzo ya kiusalama Tz, Utajiuliza kwann rais wenu kagame alisoma monduli kabla ya kumsaidia kwenda Marekani.. Japo hamna shukrani.. Utajiuliza kwann Yoweri kapata mafunzo Tz, Utajiuliza kwann nkurunzinza anaishukuru Tz mpaka leo, utajiuliza kwann mama wa jumuiya ya A.. Mashariki ni Tz... Japo mnatuita maneno mengi.... Utajiuliza kwann taifa la sudani kusini lipo japo halijatulia..??

Au bado hamjui kwamba watu wenu wanaikimbia Rwanda mpaka leo.. Hamjui kwamba mlikuwa jamii ya watu wa Tanganyika,?... Sasa jamaa ukiigusa tu Rwanda lazima akuandame kwa matusi.... Lakini cha ajabu anajadili sana mambo ya Tz... Kuliko ya kwao
 
Kinachonifurahisha Kila dk na Kila sekunde ni kwamba mungu wenu tayari anaongoza malaika wa kuzimu aliokuwa akiota kuwaongoza, paparikeni dakika za mwisho kisha mjifungie na kuanza kulia kabla hamjapotea wote humu kwa aibu
Una stress sana mkuu! Nakushauri achana na kufuatilia mambo ya siasa utakufa kabla ya wakati.
 
Ndugu yangu ukiamua kuweka mambo weka kabisa hata kurasa kibao... Ikisema itaendelea kwenye vitu kama hivi.. Huwezi ijua kesho yako ... File zenye secrets huwa hazitoki vipandevipande ndugu Britannica
Ndo hivo
 
Kumbembm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…