Pale HG anapokuheshimu na kukuhudumia kuliko wife

Profesa

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
905
Reaction score
624
Wadau, najua hoja nyingi zimo humu kuhusu hawa wasichana ambao ni "natural"! Unajua wife hapa ninapochar kashika remote anachange cahnnel tu kwenye dish akkiagiza hili na lile, na nimetoka kuomba kikombe cha chai, lakini kamuagiza HG alete, zaidi nimeanzisha hoja fulani hapa nilichojibiwa najua mwenyewe na nilipouliza mbona unajibu hivyo ndo kabiosa mazungumzo yakaharibika... wakati huohuo namwita dada hebu nichekie kama kuna t-shirt iliyopiugwa pasi ananiitikia ndiyo baba na fasta anailete na kubonyea kidogo kwa heshima na anapoondoka naniachia harufu flani ay natural inayonihakikishia mambo yameiva napagawa... mama kapiga pafume ajabu hata sijui tena harufu yake ni ipi...

Usisahau asubuhi nikiamka ninaekutana nae ni dada, kafunga kanga moja na kama kawa anaandaaa chai fasta na kwa heshima zote, usisahau mambo yote ya mtoto anasimamia dada, kumuogesha kula na akilia anambembeleza yeye... na mama kasisitiza alipwe elfu 20,00 tena baada ya kusisitiza kwa umakini...

Jamani acheni tu sijui kama itakuwaje mi ni mtu mzima ila hapa ni tatizo kwa kweli... Nimepoteza hata uwezo wa kumshauri wife kwa kiburi alichojenga maana hata lugha haiko kama vile basi tu hakuna sababu ila sijui ndo kunizoea au vipi... wadau huko kwenu sijui kukoje
 
Pole Profesa................
 
Mshukuru Mungu kukupatia House Girl mchapa kazi, wengine wanawatafuta hawawapati, Prof. kwani hufurahi ukiwa umejipumzisha na mkeo baada ya kazi ngumu huku House Girl akichakarika?
 
Ndivyo walivyo hao,ni wepesi wa kusamehe na kujisahau haswa,brother! Anyway,naomba uishinde nguvu ya shetani inayo kunyemelea.
 
tamaa yako tu inakusumbua. Kwa nini usizungumze kwa upole na mahaba na mkeo ukajua nini kinamtatiza leo?

Kwa hyo wewe ukiamka asbuh mkeo humwoni unamwona dada wa kazi?

Shinda tamaa yako huyo dada hata kama analipwa laki 2 nini elfu 20,muheshimu kama anavyokuheshimu,kumbuka yupo kazini anatafta mkate wake.
 
Professor hebu muogope mungu. Muone huyo binti kama mtoto wako. Jamani wazazi tuna shida na mabinti zetu. Mungu naomba umuondolee Professor hili pepo linalotaka kumpata.
 

Ah........haya tena
Una uhakika huna ulilomuudhi? Maana hapo kwenye bold ni kama anakulipishia kiaina! Pole bana but ushamtamani Binti wako wa kazi...... hadi umesikia kiharufu naturale!!!
 

Usitoke povu, nakunong'oneza; jilipe kimya kimya.
 
Kwahiyo unatutaarifu ya kuwa umeshamtamani HG au? Haya Prof, Inaonekana wewe ni Prof kwenye sekta ya uzinzi!
Kila la kheri! Na ukishatembea nae HG uje pia utupe taarifa.
 

Atazungumzaje naye wakati mnakataa masharti ya wahsani. 'Sema naye, kwa hisani wa Waingereza...L
 
na nyie mmezidi lawama mno.mke ni ua
Ua sawa lakini afanye huduma muhimu kwa mumewe, kuna vitu huwezi kumwachia h'gal amfanyie mumeo.

Nikirudi kwako profesa, acha kabisa kumtamani huyo mtoto wa watu, mchukulie kama mwanao wa kumzaa, kaa na mkeo na umweleze hali halisi kuwa hufurahishwi kuhudumiwa na h'gal, na hizo perfume kali aache kutumia!
 
Duuuuu! Prof maumivu ya kichwa huanza pole poleee, unayasikia maumivu makaaaaaaaaaaaaali sana mwishowe..............utatakiwa unywe dawa. Usiitese nafsi prof..........
 
mie bado sijaelewa harufu natural ni ipi? Kikwapa au? Au ndo na sisi binadamu tumeanza signal za mapenzi kama mabeberu ya mbuzi nini?
 
sasa hujamwagilia na kuwekea mbolea litaacha kusinyaa?
mwenzie houseboy anamwagilizia la kwake na mshahara wake wa 50 tau afu ww unateremshia udenda! toeni bhange zenu hapa!
Ua ndiyo,lakini sometimes linasinyaa
 
sasa hujamwagilia na kuwekea mbolea litaacha kusinyaa?
mwenzie houseboy anamwagilizia la kwake na mshahara wake wa 50 tau afu ww unateremshia udenda! toeni bhange zenu hapa!

House girl wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…