Pale Oscar Oscar atakapogeuka shujaa

Pale Oscar Oscar atakapogeuka shujaa

Torra Siabba

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
243
Reaction score
287
Simba leo wameujaza uwanja ile Mbaya, wasanii wamepiga Shoo kibabe sana, Alikiba ndio kabisaaa.

Hii imeonyesha maana halisi ya Tamasha kubwa la Simba Day. Lakini wakati yote yakiendelea kutokana na namna Simba walivyojaa Kwa mkapa, kwa namna walivyo na shauku ya Mnyama kufanya makubwa katika ligi ya msimu ujao.

Kama wasipotwaa Ubingwa Oscar wa WASAFI atakua Shujaa maana kupitia mitandao yake ameandika SIMBA DAY BILA KOMBE NI SAWA NA HARUSI TU.
 
Dunia nikusanyiko wa vitu vingi, kama ilivyo michezo ni vitu vingi hivyo basi tamasha la simba ni sehemu ya vitu bora na vya kipekee katika soka.Aliyefanya vyema apongezwe kwa sababu kila pahala bingwa huwa mmoja.
 
Bongo bwana,, Yaani mlima tumbaku kutoka kaliua ndani ndani anaonekana think tank Hata Kwa wenye AKILI duh
 
Simba leo wameujaza uwanja ile Mbaya, wasanii wamepiga Shoo kibabe sana, Alikiba ndio kabisaaa.

Hii imeonyesha maana halisi ya Tamasha kubwa la Simba Day. Lakini wakati yote yakiendelea kutokana na namna Simba walivyojaa Kwa mkapa, kwa namna walivyo na shauku ya Mnyama kufanya makubwa katika ligi ya msimu ujao.

Kama wasipotwaa Ubingwa Oscar wa WASAFI atakua Shujaa maana kupitia mitandao yake ameandika SIMBA DAY BILA KOMBE NI SAWA NA HARUSI TU.
Hoja yako aina mashiko, kujaa uwanjani na kutwaa makombe vinahusianaje? Mashabiki ndio wanaingia uwanjani kucheza? Msimu ulioisha walijaa hivi hivi kilichofata nafikiri unakijua, Makombe yanakuja kwa usajili bora, mipango bora ya viongozi, benchi bora la ufundi na team work, kama akuna ivyo vitu ukae ukijua utaambulia patupu
 
Ukubali kwamba Hujanielewa
 
Simba leo wameujaza uwanja ile Mbaya, wasanii wamepiga Shoo kibabe sana, Alikiba ndio kabisaaa.

Hii imeonyesha maana halisi ya Tamasha kubwa la Simba Day. Lakini wakati yote yakiendelea kutokana na namna Simba walivyojaa Kwa mkapa, kwa namna walivyo na shauku ya Mnyama kufanya makubwa katika ligi ya msimu ujao.

Kama wasipotwaa Ubingwa Oscar wa WASAFI atakua Shujaa maana kupitia mitandao yake ameandika SIMBA DAY BILA KOMBE NI SAWA NA HARUSI TU.
Kwa hiyo wewe na wenzio walima tumbaku mlitaka tuisusie timu?
Ubingwa si anachukua mmoja au ulitaka timu zote zichukue makombe?

Watu kama ninyi na huyo mlima tumbaku hamna maana.Kwani soka haliwezi kukua iwapo kuna mashabiki wapumbavu kama ninyi ambao mnasusa timu ikifanya vibaya
 
Tunachomaanisha ni kwamba, Wingi wa watu ni deni kwa Uongozi wa Simba na wachezaji kucheza kwa kujituma ili Makombe yaje Msimbazi
 
Anayerudi mikono mitupu bila vikombe ndiye anayetaabika. Mpira ni Kubeba vikombe. Zingine ni mbwembwe(kelele) tu.
Mkuu nakushauri kwa leo usiangalie TV, utaendelea kupata hali ngumu zaidi
 
Tamasha bovu kwelikweli.

Nadhani ni thamani ya pesa yako, wananchi walitoa pakubwa na walipata burudani kwelikweli. Na hawa wametoa bukubuku na wao wameletewa kina meja kunta kuwaimbia basha basha na kudadeki
 
Back
Top Bottom