Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Utokolo mtapata tabu sana mwaka huuSimba day kama mahafari tu
Anayerudi mikono mitupu bila vikombe ndiye anayetaabika. Mpira ni Kubeba vikombe. Zingine ni mbwembwe(kelele) tu.Utokolo mtapata tabu sana mwaka huu
Hoja yako aina mashiko, kujaa uwanjani na kutwaa makombe vinahusianaje? Mashabiki ndio wanaingia uwanjani kucheza? Msimu ulioisha walijaa hivi hivi kilichofata nafikiri unakijua, Makombe yanakuja kwa usajili bora, mipango bora ya viongozi, benchi bora la ufundi na team work, kama akuna ivyo vitu ukae ukijua utaambulia patupuSimba leo wameujaza uwanja ile Mbaya, wasanii wamepiga Shoo kibabe sana, Alikiba ndio kabisaaa.
Hii imeonyesha maana halisi ya Tamasha kubwa la Simba Day. Lakini wakati yote yakiendelea kutokana na namna Simba walivyojaa Kwa mkapa, kwa namna walivyo na shauku ya Mnyama kufanya makubwa katika ligi ya msimu ujao.
Kama wasipotwaa Ubingwa Oscar wa WASAFI atakua Shujaa maana kupitia mitandao yake ameandika SIMBA DAY BILA KOMBE NI SAWA NA HARUSI TU.
Mkimaliza mtuonyeshe kombe lenu mlilochukua la kuujaza uwanjaUtokolo mtapata tabu sana mwaka huu
Hoja yako aina mashiko, kujaa uwanjani na kutwaa makombe vinahusianaje? Mashabiki ndio wanaingia uwanjani kucheza? Msimu ulioisha walijaa hivi hivi kilichofata nafikiri unakijua, Makombe yanakuja kwa usajili bora, mipango bora ya viongozi, benchi bora la ufundi na team work, kama akuna ivyo vitu ukae ukijua utaambulia patupu
Ukubali kwamba HujanielewaHoja yako aina mashiko, kujaa uwanjani na kutwaa makombe vinahusianaje? Mashabiki ndio wanaingia uwanjani kucheza? Msimu ulioisha walijaa hivi hivi kilichofata nafikiri unakijua, Makombe yanakuja kwa usajili bora, mipango bora ya viongozi, benchi bora la ufundi na team work, kama akuna ivyo vitu ukae ukijua utaambulia patupu
Kwa hiyo wewe na wenzio walima tumbaku mlitaka tuisusie timu?Simba leo wameujaza uwanja ile Mbaya, wasanii wamepiga Shoo kibabe sana, Alikiba ndio kabisaaa.
Hii imeonyesha maana halisi ya Tamasha kubwa la Simba Day. Lakini wakati yote yakiendelea kutokana na namna Simba walivyojaa Kwa mkapa, kwa namna walivyo na shauku ya Mnyama kufanya makubwa katika ligi ya msimu ujao.
Kama wasipotwaa Ubingwa Oscar wa WASAFI atakua Shujaa maana kupitia mitandao yake ameandika SIMBA DAY BILA KOMBE NI SAWA NA HARUSI TU.
Mkuu nakushauri kwa leo usiangalie TV, utaendelea kupata hali ngumu zaidiAnayerudi mikono mitupu bila vikombe ndiye anayetaabika. Mpira ni Kubeba vikombe. Zingine ni mbwembwe(kelele) tu.
Hii imeendaNonsense
Hongeraa kuanzisha thread