Pale photoshop inapobadilika na kuwa photocheka

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
2,544
Reaction score
3,361
Hahah, nimecheka sana,
Kuna jamaa huko twitter alituma picha yake akiwa na mbwa akaomba wataalamu wa photoshop, wamtengenezee picha yake ifananie na picha ya katuni fulani, yaani ziwe na mfanano.
Jionee mwenyewe wataalam mbali mbali walivyoonyesha ujuzi wao usio na malipo.

Alituma ombi lake kama inavyosomeka na picha aliyoweka.
"Can someone photoshop Chica into my arm like this? Thanks"

Alitaka picha hii itengenezwe ifanane na ya hapo chini, mbwa arefushwe iwe na mfano na ya chini.

Hizi ni picha za wataalam wa photoshop, wameitikia ombi na hizi ni rejesho mbali mbaliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


















 

Attachments

  • 13.jpg
    50.1 KB · Views: 149
  • 17.jpg
    47.2 KB · Views: 132
Dah nimecheka sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna watu wanavituko hii dunia hatari
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee! Yaani nimecheka[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Dah too funny,
kila mtu kaonyesha uwezo wake hapo kazi kwake kuchagua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…