Pale Refa anapokuwa mchezaji wa 12 uwanjani...

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Screenshot_20240111-071957.jpg

Football Agenda or Agenda in football?
 
Hivi timu ikialikwa ikapotezea mwaliko inakuwaje?
Mimi sio shabiki wa mpira ila nilishangaa kuona kipa amedakia nje na ikawa kona.
Kipa anadakiaje nje kama ameona mpira umetoka?

Aliudakia ndani akakosa balance akatoka nje ya goal line ndiyo maana ni kona.

Hivi kama refarii angekuwa na upendeleo kwa Simba si palikuwa na clear penalty mchezaji wa Singida FG alijnawa mpira ndani ya penalty box tena kwa kutanua mkono.
 
Kwa hali hii kombe la mapinduzi litakosa mvuto make liko kama kimchongo kwa ajiri ya timu fulani halina utaratibu kabisa marefa hawafati kanuni za soka uwanjani, kama linachagua mshindi.
 
Mbona ilirudiwa mara kadhaa ule mpira hakuushika kwa mkono. Nadhani kilichotokea ni udhaifu wa mwamuzi dkk zilizoongezwa ni 6 yeye kaenda mpaka dkk 8 ndio tatizo liko hapo
 
Umeshakunywa chai au bado unapiga mihayo??hebu eleza kanuni ipi ambao hakuifuata
 
Mbona ilirudiwa mara kadhaa ule mpira hakuushika kwa mkono. Nadhani kilichotokea ni udhaifu wa mwamuzi dkk zilizoongezwa ni 6 yeye kaenda mpaka dkk 8 ndio tatizo liko hapo
Unaangaliaga mpira wa nje mfano EPL?? mbona huwa zinachezwa mpaka dakika 100?? zikiongezwa dakika 5 na ndani ya hizi dakika 5 kukawa na upotevu wa muda refa anafidia kwa kuongeza muda hivyo zikifika hata 7 badala ya 5 ni sawa. Lakini hata kama ziliongezwa 6 zikafika 8 kwani hizo 2 walikuwa Simba peke yao uwanjanj??si Timu zote zilicheza hizo dakika? tumieni akili za kichwa na sio za makalio,afungwe Singida wanune Yanga daah
 
Kawaida ikitokea mwamuzi anaongeza dakika za kufidia huwa kuna tukio maalumu lililosababisha kufanya hivyo, sasa kwa mechi ya jana kulitokea nini kupelekea kufika huko usiishie tu kusema dakika ni za wote kuficha udhaifu wa waamuzi. Halafu kama ingekua ivyo unavyosema wewe basi kusingehitajika hata kuonyesha zimeongezwa dakika kadhaa, yan ikifika dkk 90 mnabaki kusubiri filimbi ya mwisho ya mwamuzi mpaka atakapo amua yeye.

Nilianza kuangalia mpira wa ulaya ndio nikaja kuanza kuupenda mpira wetu huku, kwahiyo hakuna kitu utanidanganya ila tu mapenzi yenu yanawatia upofu hata mnapoambiwa ukweli mnahisi kusimangwa.
 
Tatizo la JF siku hizi tatizo linapojitokeza linajadiliwa kishabiki. Hapa Simba wanatafuta kuhalisha makosa na Yanga wanatafuta kuhalisha makosa. Huyu akikosoa hili hapati jibu, anajibiwa Kwa kuambiwa kosa lililojitokeza upande wake. Bila kupepesa macho Hakuna upendeleo wa makusudi kwenye mechi ya Jana. Kilichojitokeza ni Waamuzi kuwa wabovu Tangu mwanzo wa mashindano. Kiujumla mashindano yote yamechafuliwa na waamuzi japo Jana ilikuwa zaidi. Mfano, ni sababu ipi iliyosababisha Mwamuzi aliyestaafu kurudishwa kuchezesha Mechi? Umri umekwenda na alishindwa kwenda na matukio Mechi ya APR Vs MLANDEGE. Mechi ya Jana akapewa Mwamuzi ambaye eti Zanzibar nzima ndo kinara. Lakini ukiangalia matukio mengi hakufika Kwa wakati na pengine aliyakalia kimya Kwa kutojua kilichotokea. Mwisho kabisa ni kutojulikana ziliongezwa dakika ngapi? Maana mwanzo Mtangazaji alisema dakika 8 maana Mwamuzi ni kama alionyesha mkono wote wa kulia na vidole kadhaa mkono kushoto. Lakini mezani waliona kaongeza dakika 6 na wakaonyesha kibao cha dakika 6. Baada ya dakika 90 Hakuna tukio lolote lililochelewesha Muda Kwa dakika 2 kama lipo lisemeni. Ninachoona labda kweli Mwamuzi aliongeza dakika 8 lakini mezani wakaongeza 6.
 
Mashindano ya kombe la mapinduzi tulitegemea yalete mabadiriko na chachu ya kukuwa kisoka Kwa timu za ZANZIBAR, lakini Kwa utaratibu wawaamuzi kuharibu mchezo hakika nawaambieni soka la ZANZIBAR halitakuja kuwa na mvuto na wala halitakuwa, Bali litazidi Kudumaa.
 
Unaangaliaga mpira wa nje mfano EPL?? mbona huwa zinachezwa mpaka dakika 100?? zikiongezwa dakika 5 na ndani ya hizi dakika 5 kukawa na upotevu wa muda refa anafidia kwa kuongeza muda hivyo zikifika hata 7 badala ya 5 ni sawa. Lakini hata kama ziliongezwa 6 zikafika 8 kwani hizo 2 walikuwa Simba peke yao uwanjanj??si Timu zote zilicheza hizo dakika? tumieni akili za kichwa na sio za makalio,afungwe Singida wanune Yanga daah
Wanalalamika kana kwamba hizo dakika2 waliongezwa simba wao wakiwa nje ya uwanja

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la JF siku hizi tatizo linapojitokeza linajadiliwa kishabiki. Hapa Simba wanatafuta kuhalisha makosa na Yanga wanatafuta kuhalisha makosa. Huyu akikosoa hili hapati jibu, anajibiwa Kwa kuambiwa kosa lililojitokeza upande wake. Bila kupepesa macho Hakuna upendeleo wa makusudi kwenye mechi ya Jana. Kilichojitokeza ni Waamuzi kuwa wabovu Tangu mwanzo wa mashindano. Kiujumla mashindano yote yamechafuliwa na waamuzi japo Jana ilikuwa zaidi. Mfano, ni sababu ipi iliyosababisha Mwamuzi aliyestaafu kurudishwa kuchezesha Mechi? Umri umekwenda na alishindwa kwenda na matukio Mechi ya APR Vs MLANDEGE. Mechi ya Jana akapewa Mwamuzi ambaye eti Zanzibar nzima ndo kinara. Lakini ukiangalia matukio mengi hakufika Kwa wakati na pengine aliyakalia kimya Kwa kutojua kilichotokea. Mwisho kabisa ni kutojulikana ziliongezwa dakika ngapi? Maana mwanzo Mtangazaji alisema dakika 8 maana Mwamuzi ni kama alionyesha mkono wote wa kulia na vidole kadhaa mkono kushoto. Lakini mezani waliona kaongeza dakika 6 na wakaonyesha kibao cha dakika 6. Baada ya dakika 90 Hakuna tukio lolote lililochelewesha Muda Kwa dakika 2 kama lipo lisemeni. Ninachoona labda kweli Mwamuzi aliongeza dakika 8 lakini mezani wakaongeza 6.
Bado hujasemaaa.
 
Kawaida ikitokea mwamuzi anaongeza dakika za kufidia huwa kuna tukio maalumu lililosababisha kufanya hivyo, sasa kwa mechi ya jana kulitokea nini kupelekea kufika huko usiishie tu kusema dakika ni za wote kuficha udhaifu wa waamuzi. Halafu kama ingekua ivyo unavyosema wewe basi kusingehitajika hata kuonyesha zimeongezwa dakika kadhaa, yan ikifika dkk 90 mnabaki kusubiri filimbi ya mwisho ya mwamuzi mpaka atakapo amua yeye.

Nilianza kuangalia mpira wa ulaya ndio nikaja kuanza kuupenda mpira wetu huku, kwahiyo hakuna kitu utanidanganya ila tu mapenzi yenu yanawatia upofu hata mnapoambiwa ukweli mnahisi kusimangwa.
Kwahiyo hujaona wachezaji wawili wa singida waliolala kwa kujiangusha uwanjani na refa alipoita watoa matibabu wachezaji wa singida waligomea watoa huduma kuingia uwanjani?na kuendelea kupoteza muda?

Bwana eeeh mtajua wenyewe,sisi hao fainali,

Kikundi cha Malalamiko na Lawama (KIMALA) Mmeamkaje huko, Sisi huku bado tunashangilia kutinga fainali

Mkimaliza kulalamikia jambo lisilowahusu nendeni mkawapokee wenzenu wanarudi leo
 
YAANI MPAKA USEMEEEEE.....
 
Hali kama hii iwatokee nyinyi tu,
Mnajikalia kimyaaaaa na mwiko wenu nyuma....mshasahau

HUJASEMA BADO....
 
Kwahiyo hujaona wachezaji wawili wa singida waliolala kwa kujiangusha uwanjani na refa alipoita watoa matibabu wachezaji wa singida waligomea watoa huduma kuingia uwanjani?na kuendelea kupoteza muda?

Bwana eeeh mtajua wenyewe,sisi hao fainali,

Kikundi cha Malalamiko na Lawama (KIMALA) Mmeamkaje huko, Sisi huku bado tunashangilia kutinga fainali

Mkimaliza kulalamikia jambo lisilowahusu nendeni mkawapokee wenzenu wanarudi leo
huyu mpuuzi ana mwiko huko nyuma hawezi kuelewa
 
Back
Top Bottom